Yeye yupo kisiasa na kidini zaidi. Yeye anajua kwamba ikiwa central bank itaongeza interest rate basi bei ya mikopo itapanda na kufanya mzunguko wa fedha kupungua na watu watakosa pesa. Hii itapunguza inflation lakini pia itakasirisha watu na hataki kukasirisha wapiga kura. Lingine ni kwamba anasema eti dini lake haliruhusu interest rate au riba kwa hivyo hataki liongezwe. Soma hapa, jamaa anasema eti riba ni maovu. Huyu pimbi ni mzigo kwa uchumi wa Turkey. Kuleta udini kwenye mambo ya uchumi sio nzuri.Analenga nini kuamuru hivyo?
Duu hapo anawanufaisha wenye nazo/wafanyabiashara..Yeye yupo kisiasa na kidini zaidi. Yeye anajua kwamba ikiwa central bank itaongeza interest rate basi bei ya mikopo itapanda na kufanya mzunguko wa fedha kupungua na watu watakosa pesa. Hii itapunguza inflation lakini pia itakasirisha watu na hataki kukasirisha wapiga kura. Lingine ni kwamba anasema eti dini lake haliruhusu interest rate au riba kwa hivyo hataki liongezwe. Soma hapa, jamaa anasema eti riba ni maovu.
Turkey's Erdogan calls interest rates "mother of all evil"; lira slides
Turkish President Tayyip Erdogan called for lower interest rates on Friday and described them as the "mother and father of all evil", triggering a fresh slide in the lira as investors worried about the central bank's ability to rein in high inflation.www.reuters.com
All assembled in Tanzania!Nearly a hundred LCs!
Mkuu tofautisha kati ya inflation rate ya chini ya 2% hadi 8% ambayo wachumi wanaikubali na kuamini kwamba ni nzuri kwa afya ya uchumi na inflation rate kubwa ya zaidi ya 20% ambayo wachumi wanaamini ni mbaya kwa afya ya uchumi. Hii ya Turkey ya 73% ni mbaya na ina madhara mabaya sana hata kwa matajiri kwa sababu utajiri unapungua kwa kasi kwa sababu ya high inflation. Kwa mfano ksh 1,000,000 katika mwaka wa 2001 inaweza ikawa value yake ni ksh 30,000 mwaka wa 2022 kwa sababu ya inflation. Sasa Zimbabwe wakati walipata inflation kubwa unajua kuna watu wengi walikuwa millionaires lakini ndani ya miezi michache wakapoteza umillionaire wao kwa sababu ya bei ya bidhaa kupanda kishenzi kiasi cha kwamba milioni moja ya zimbabwe ilikuwa haina thamani tena, haingeweza kununua hata mkate dukani. Inflation ya juu inawaumiza hata matajiri.Duu hapo anawanufaisha wenye nazo/wafanyabiashara..
Huko kwao maskini hawapo?
Mwisho kuna haja ya debate ya kiuchumi kwenye issue ya inflation maana Kama Uchumi unakua na maisha yanaenda hii inflation inaonyesha kanakwamba haina uzito..
Ujue inflation italeta maana kama kweli inatatiza maisha ya watu, kinyume na hapo inabakia kuwa namba tuu zisizo na maana..
Binafsi huwa bado Nina mashaka na inflation rate,kwa sababu kama mfumuko wa bei upo lakini Bado watu Wana uwezo wa kununua na kuuza ,then maana yake ni ipi hasa?
Tunayo kaka tena yetu ni noma zaidi ina wanyama wa aina nyingi zaidi na pia iko kwny bonge la view chini ya paa la Africa!!!Mount Kilimanjaro the place so called Serval Wildlife Kilimanjaro tumeshawahi kushare humu mpk tweetsMnyonge mnyongeni ila Girrafe Manor ni Bonge la Idea ..na tourism site ...i would love Tz iwe na sehemu kama hyo
Hayo nayafahamu na mimi nimesoma uchumi vilevile.., madhara yatakuwepo kwenye biashara/assets ambazo zina nature ya savings .Mkuu tofautisha kati ya inflation rate ya chini ya 2% hadi 8% ambayo wachumi wanaikubali na kuamini kwamba ni nzuri kwa afya ya uchumi na inflation rate kubwa ya zaidi ya 20% ambayo wachumi wanaamini ni mbaya kwa afya ya uchumi. Hii ya Turkey ya 73% ni mbaya na ina madhara mabaya sana hata kwa matajiri kwa sababu utajiri unapungua kwa kasi kwa sababu ya high inflation. Kwa mfano ksh 1,000,000 katika mwaka wa 2001 inaweza ikawa value yake ni ksh 30,000 mwaka wa 2022 kwa sababu ya inflation. Sasa Zimbabwe wakati walipata inflation kubwa unajua kuna watu wengi walikuwa millionaires lakini ndani ya miezi michache wakapoteza umillionaire wao kwa sababu ya bei ya bidhaa kupanda kishenzi kiasi cha kwamba milioni moja ya zimbabwe ilikuwa haina thamani tena, haingeweza kununua hata mkate dukani. Inflation ya juu inawaumiza hata matajiri.
Effect of inflation on wealth
Inflation is effectively the reverse of compound interest. Take a closer look at how inflation destroys your wealth every year and effect of inflation on wealth.www.valueresearchonline.com
Hatari sana,dubai ana project yake kujenga zoo kubwa itakayoendana na baadhi na africa,kwa ajili ya utalii,nadhani hao wanyama sasa wanenda huko,baada ya miaka kadhaa watalii wanaweza kuanza kwenda huko,waafrika tumekua wapumbavu sana kwa kugawa rasilimali zetu kijinga kabisa ikiwa wenzetu mpaka leo wanatuficha kujua technologyShe just autopilot, ceremonial, powerless.. hana maamuz yake kamili.. mwenye remote yuko Msoga anawacheck tu 😅
Russia sio super power.Super power hawekewi vikwazo kizembe zembe.Russia ana uchumi mzuri lakini sio super power.Mbona Russia, superpower wako imeshindwa kuiteka Donbas siku 100 baada ya vita kuanza? Naelewa imeshindwa kuiteka Kyiv au Kharkiv kwa sababu hizo ni miji mikubwa lakini mbona kamji kadogo kama Severodonetsk imeishinda Superpower? Hii ni maajabu. Russia ni superpower wa kwenye makaratasi.