Sasa wewe na waziri wenu wa mining nani mwerevu kushinda mwingine? Waziri wenu wa madini amesema vizuri kwamba Tanzania ilipata $3.5 billion kutokana na mauzo ya madini. Yaani hio $3.5 billion ni mapato ya sector ya madini. Hivi ni nini huelewi? Hio $3.5 billion inapatikana kwa kujumlisha mauzo ya dhahabu, tanzanite, diamond, na madini zote mnazozalisha. Hii $3.5 billion sio mapato ya GoT. Mna bahati mbaya kwamba mimi sidanganyiki virahi.Tony I thought kwa CPA yako usingepata tabu kutofautisha kati ya tax revenues na non tax revenues. Hiyo 3.5bn ni tax revenues inayopatikana kwenye 30% corporate tax, pay as you earn tax (PAYEE) na VAT kwenye Fuel and Oil.
Non tax revenues ni royalties i think ni 6%, mining profit out of mandatory share ya serikali kwenye mgodi, skill development levy na CSR.
Hadi leo hujajua ku-upload picha kwa hili jukwaa?Acha ujinga,hayo ni mapato ya serikali moja kwa moja kama hii Til.3 ya Utalii 👇
Inaniuamje mombasa imedorola wewe kwann mm Kenya..Usiwe unabisha kifalamanga Fly Dubai, Turkish Airlines, Edelweiss na Eurowings r regular flights! Leta facts ati ni seasonal flights!
Najua inakuuma Mombasa imedorola! Only Condor ni seasonal flight! Ingia websites ya hizi airlines utaona!
Waziri wenu wa madini Doto Biteko amesema kwamba Tanzania made mineral sales of $3.6 billion. Unajua maana ya neno "mineral sales"? Mineral sales kwa kiswahili ni "mauzo ya madini". Mauzo ya madini ya Tanzania ni $3.6 billion. Sasa hii pesa ya mauzo sio kwamba yote 100% inakwenda kwa GoT unless nyie ni wajinga hamuelewi jinsi makampuni yananya kazi.Kama hiyo $3.7bn inajumuisha na pesa ya investor ambayo inarudishwa kwao iweje waseme Tz imepata $3.7bn kwenye mining? Inakuwaje na pesa ya investor iwe ni ya Tz?
Ona mjinga mwingine. Yaani hawa Watanzania majority wana matatizo ya akili. So ukisikia kwamba Tanzania imeingiza Tsh 3 trillion katika sekta ya utalii nyie na akili zenu matope mnafikiri kwamba hio Tsh 3 trillion yote imekwenda GoT? Yaani mnashangaza sana. Hio Tsh 3 trillion ni mapato ya sector nzima ya utalii na majority ya hii pesa inatumika kulipia expenses kwenye mahoteli na tourist lodges kwa mfano salaries za hotel managers, waiters, tour guides etc. Sehemu kidogo ya hii pesa ndio inakwenda GoT kama taxes. Zingine zinabaki kama profit ya mmiliki wa hoteli. Anyway wacha debate iishe. Kila mtu aamini anachotaka. Mambo ya kuelewa sectoral income imewashinda. Ukiambiwa sector ya ukulima imetengeneza mapato kiasi fulani haimaanishi kwamba pesa hio yote imekwenda kwa GoT.Acha ujinga,hayo ni mapato ya serikali moja kwa moja kama hii Til.3 ya Utalii 👇
evidence from the respective airlines that r flying seasonal?Inaniuamje mombasa imedorola wewe kwann mm Kenya..
So Week iliyopita yote Fly dubai imetua KIA?
Turkish Imetua KIA?
Hizo zinakujaga kipindi ambacho ni high season..ikiwa low season
Fly dubai Inakuja Dar Via Znz
Na Turkish inakuja Dar via Znz, some days sio Via Znz
Hyo edelweiss inakuja High season Zanzibar Via KIA
Hyo Eurowings kila Jumapili Inaenda Zanzibar via Mombasa..
Na condor ilikuwa hivyo hvyo...
Pia udongo wake ni mfinyanzi kutoka Itoni(Njombe) to Ludewa hivyo huenda tukawa na Barbara ya Zege kilomita 211 Njombe to Manda(Lake Nyasa) the first in AfricaGeography ya Ludewa ni milima mikali mzee, hata gari kufika huko ni changamoto sababu ya hilly terrains
Mpaka barabara imebidi zijengwe za Zege kutokana na geographical challenges
View attachment 2250036View attachment 2250037View attachment 2250038
Naishi hapahapa Tz nna mshahara wa wastani lakini I can tell you for sure Tz maisha ni magumu sana kama hauna kazi ama biashara yenye mzunguko...watu wengi ni hopeless ndio maana utawala uliopita wakisikia mtu katumbuliwa walikua wanashangilia,wakisikia biashara za watu zimefungwa wanashangilia,watu wenye maisha magumu hawataki hawataki kuona mwingine akipata,infact hapa naongea v2 kwa uhalisia wake,Mtu akikuambia tz maisha ni mepesi uyo tayar anamfereji wakukungaHuo ndio ukweli mtu hawezi kuondoka kwenye nchi ambayo food is plenty and cheap, booze is cheap also, cost of living is low, purchasing power kubwa, health and social welfare top notch on top of that public security iko high. Uende wapi tena unless wewe ni kichaa.
But people are likely to migrate out of their country if there are security concerns, food availability is a problem, people dying of hunger and starvation, low purchasing power economy, health and social welfare haileweki and many more reasons.
Mbona wewe kama hazimo vile?chongchung The best 007 coodip1 kuwaonyesha tu ni jinsi gani akili zenu ni matope, GoT in 2021 ilikusanya mapato ya Tsh 16 trillion ambayo ni around $8 billion. Sasa ikiwa $3.5 billion mapato ya sekta ya madini yote inakwenda kwa GoT na ikiwa $1.5 billion mapato ya sekta ya utalii yote inakwenda GoT basi GoT tayari itakuwa imeshakusanya $3.5B+$1.5B=$5B kutoka sekta mbili pekee. Ukiongeza mapato ya sekta ya ukulima ya $14 billion basi GoT itakuwa imekusanya $5B+$14B=$19B. Kumbuka GoT haikukusanya $19B bali ilikusanya mapato between $8B to $9B in 2021.
View attachment 2250610
Sio kweli hiki unachokisema bwana tuusan, maisha ya Tz co magumu ukilinganisha na nchi nyingi za Afrika, jaribu kulinganisha mfumuko wa bei wa nchi za EA vs Tz zen conclude, ni kweli Africa tuna maisha magumu kama utachukua kipimo cha nchi zilizoendelea lkn ki Afrika Africa Tz tupo vzr tu, buku tu unashiba unaweza kuingia kwa mama ntilie unakula chakula kizuri tu, andazi bado sh100 ile ile, kitumbua 100, chapati 200, chai 100, unga 1000, mchele mpk 1500 upo unataka kulinganisha na wapi?Naishi hapahapa Tz nna mshahara wa wastani lakini I can tell you for sure Tz maisha ni magumu sana kama hauna kazi ama biashara yenye mzunguko...watu wengi ni hopeless ndio maana utawala uliopita wakisikia mtu katumbuliwa walikua wanashangilia,wakisikia biashara za watu zimefungwa wanashangilia,watu wenye maisha magumu hawataki hawataki kuona mwingine akipata,infact hapa naongea v2 kwa uhalisia wake,Mtu akikuambia tz maisha ni mepesi uyo tayar anamfereji wakukunga
Sasa kama maisha magumu mbona umekomaa hapa hapa si usepe tuNaishi hapahapa Tz nna mshahara wa wastani lakini I can tell you for sure Tz maisha ni magumu sana kama hauna kazi ama biashara yenye mzunguko...watu wengi ni hopeless ndio maana utawala uliopita wakisikia mtu katumbuliwa walikua wanashangilia,wakisikia biashara za watu zimefungwa wanashangilia,watu wenye maisha magumu hawataki hawataki kuona mwingine akipata,infact hapa naongea v2 kwa uhalisia wake,Mtu akikuambia tz maisha ni mepesi uyo tayar anamfereji wakukunga
Sasa wewe na The Sunk Cost Fallacy mkisikia kwamba sekta ya utalii imepata mapato ya Tsh 3 trillion mwaka wa 2021 mnafikiria kwamba hio pesa yote imeenda kwa GoT? Mbona mna akili mavi hivi?Mbona wewe kama hazimo vile?
Aliekuambia dhahabu yote ya Tanzania inatoka kwa wazungu ni nani? 50% ya dhahabu ya Tanzania inatoka kwa wachimbaji wazawa, hiyo profit repatriation umeigiwaje wakati ni Watanzania wanaomiliki huo uchumi wa madini?
We mpumbavu bado hupo kwenye huu uzi sinilikuambia rudi mmu[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Sasa kama maisha magumu mbona umekomaa hapa hapa si usepe tu
Wewe ndio mjinga,sisi tunazungumzia mapato yaliyochajiwa na TRA kwenye sekta ya Madini na Utalii,hatuzungumzii mnyororo mzima wa thamani ambao ni zaidi ya hayo mapato...Ona mjinga mwingine. Yaani hawa Watanzania majority wana matatizo ya akili. So ukisikia kwamba Tanzania imeingiza Tsh 3 trillion katika sekta ya utalii nyie na akili zenu matope mnafikiri kwamba hio Tsh 3 trillion yote imekwenda GoT? Yaani mnashangaza sana. Hio Tsh 3 trillion ni mapato ya sector nzima ya utalii na majority ya hii pesa inatumika kulipia expenses kwenye mahoteli na tourist lodges kwa mfano salaries za hotel managers, waiters, tour guides etc. Sehemu kidogo ya hii pesa ndio inakwenda GoT kama taxes. Zingine zinabaki kama profit ya mmiliki wa hoteli. Anyway wacha debate iishe. Kila mtu aamini anachotaka. Mambo ya kuelewa sectoral income imewashinda. Ukiambiwa sector ya ukulima imetengeneza mapato kiasi fulani haimaanishi kwamba pesa hio yote imekwenda kwa GoT.
Cc The best 007 coodip1 chongchung
chakula bomba sana hii. asli ya kikenyaland mwanangu...Inaitwa hivyo hivyo sukuma wiki, hilo jina limetokea Tz hiyo mboga huku kwetu ni kama mboga ya kuleta hamu, yn unakuta kuna mboga zingine alafu mboga ya majani lazima iwepo sasa hapo ndio utakuta mtu ana mboga nyingine alafu na mboga ya majani pembeni kama sukuma wiki na nyingine. Ila nyie kwenu hiyo ikipikwa ndio inakuwa mboga yenyewe hiyo hiyo moja.
Umeelewa hoja yangu kweli we ng'ombe?Sasa wewe na The Sunk Cost Fallacy mkisikia kwamba sekta ya utalii imepata mapato ya Tsh 3 trillion mwaka wa 2021 mnafikiria kwamba hio pesa yote imeenda kwa GoT? Mbona mna akili mavi hivi?
Ndio tatizo la watoto wa mahaba.Fala mkubwa,nisikukoti wewe kama nani uachwe unapotosha? Hakuna upotoshaji utaachwa,nanyoka na nyie sio tuu huku bali kote kwenye majukwaa utanikuta.
Na wewe kaibe kwani hutaki pesa? Nyie takataka za Mwendazake huwa mna excuses nyingi sana za kindezi kujustify your failures..
Ndio hivyo Sasa kajinyonge,next week makubaliano yanasainiwa na huna cha kufanya mbwa WA kienyeji wewe.