chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,695
- 45,971
100% of manpower naona ni Watanzania watupu, Kenya hapo kila mtu ni mgeni, kwenye technical skills Watanzania kwa ukanda huu tunaongoza na hapo ndipo elimu yetu inapokua bora ukanda huuSwitchyard mambo motooo [emoji378][emoji378]huko Nyerere hidro power
Bongo hakuna prostitution ama? 🤣 🤣 🤣 Munajifanya kushtuka na ukahaba iko dunia mzima. It's one of the oldest professions on earth just incase you didn't know.Kabisa mkuu jiji lina umasikini mkubwa, chiga wametandika nguo ktk viambaza(pavement) vya barabarani, vumbi mtindo mmoja, magorofa yamepigwa plasta na rangi sehemu ya mbele lakini kuta za pembeni na kuta za nyuma hazikupigwa plasta, traffic lights hazifanyi kazi, watembea kwa miguu wanahatarisha maisha yao kwa kutembea kwenye 'flyovers' n.k mambo ni mengi .
Kwa kifupi Waswahili tunasema mambo yote hadharani, hii Video imewaumbua wana wa Nairobi
How prostitution done early in the morning in Nairobi Streets Prostitution in Nairobi
Huu mgodi ni wa mtanzania na katika miezi 6 ya uendeshaji wake umelipa kodi serikalini ya KES million 200 tayari, hapo faida yake na mishahara kwa wafanyakazi na shughuli za uendeshaji bado, usilinganishe na remittance za umalaya wa Dada zenuchongchung na Geza Ulole sisi hatujali kama Wakenya wanafanya kazi za aina gani bora watume billions of dollars nyumbani. Aiseeh unadhani $3.7 billion ni pesa kidogo?
Hamna lolote nyie. Total revenue from the sale of all the minerals ni $3.6 billion in 2021. Hii ni kulingana na Doto Biteko waziri wenu wa madini. Hii $3.6 billion sio dhahabu pekee bali ni kila aina ya madini. Halafu nimetazama hio video yako tena. Kumbe hio video yako inasema kwamba Tanzania ilipokea $3.5 billion from the sale of all types of minerals sio dhahabu pekee. Aisee tuusan hio $3.5 billion sio ya dhahabu pekee bali ni ya minerals zenu zote. Sikiliza hii video vizuri na usome article mahali nimekoleza kwa rangi nyekundu.sasa gold alone part of minerals inakaribia ur remittance how about when other minerals n gemstones r combined?
Ata usibishane nao..ushaona wa kwao..tazama hayo mazingira...Bongo hakuna prostitution ama? 🤣 🤣 🤣 Munajifanya kushtuka na ukahaba iko dunia mzima. It's one of the oldest professions on earth just incase you didn't know.
Huu mgodi ni wa mtanzania, kama wewe ni mchumi utajua economic benefits zitokanazo na hii heavy investment haiwezi kuwa sawa na remittanceHamna lolote nyie. Total revenue from the sale of all the minerals ni $3.6 billion in 2021. Hii ni kulingana na Doto Biteko waziri wenu wa madini. Hii $3.6 billion sio dhahabu pekee bali ni kila aina ya madini. Halafu nimetazama hio video yako tena. Kumbe hio video yako inasema kwamba Tanzania ilipokea $3.5 billion from the sale of all types of minerals sio dhahabu pekee. Aisee tuusan hio $3.5 billion sio ya dhahabu pekee bali ni ya minerals zenu zote. Sikiliza hii video vizuri na usome article mahali nimekoleza kwa rangi nyekundu.
Tanzania records steady growth in mining sector in 2021: minister
Source: Xinhua| 2022-03-11 00:19:43|
DAR ES SALAAM, March 10 (Xinhua) -- Tanzania's mining sector contribution to the national economy increased to 7.3 percent in 2021 from 6.5 percent recorded in 2020, an official said on Thursday.
Doto Biteko, the east African nation's Minister for Minerals, said the government's projection is to see the mining sector contributes 10 percent to the national economy by 2025 but this could be realized much earlier.
Biteko told a press conference in the capital Dodoma that the mining sector made history in the past one year when mineral sales reached 8.3 trillion Tanzanian shillings (about 3.6 billion U.S. dollars and the government collected 597.53 billion Tanzanian shillings in taxes and royalties.
Biteko said Tanzanians' participation in the mining sector services increased from 43 percent to 63 percent when mining services collections were 579.3 million U.S. dollars.
He attributed achievements in the mining sector to reforms undertaken under the administration of President Samia Suluhu Hassan, including the improvement of mining conditions for artisanal miners who contributed to 30 percent of mining activities in the country.
Biteko said the reforms have led to the creation of at least 44 gold trading centers and 70 other minerals trading centers across the country which have helped to stop smuggling of minerals outside the country. ■
Tanzania records steady growth in mining sector in 2021: minister
Tanzania records steady growth in mining sector in 2021: minister-english.news.cn
Cc chongchung Geza Ulole
Remittance ya Kenya hiyo unayoibeza kwamba ni ya umalaya inaleta $3.7 billion Kenya kwa mwaka wakati madini zenu zote, yaani sio dhahabu tu bali madini zenu zote zinawaletea $3.5 billion au $3.6 billion. Kuna video inasema $3.5 billion na kuna article inayosema $3.6 billion. Lakini whether it is $3.5 billion au $3.6 billion bado mapato yetu ya remittance imeshinda mapato yenu ya sector ya madini.Huu mgodi ni wa mtanzania na katika miezi 6 ya uendeshaji wake umelipa kodi serikalini ya KES million 200 tayari, hapo faida yake na mishahara kwa wafanyakazi na shughuli za uendeshaji bado, usilinganishe na remittance za umalaya wa Dada zenu
At least sio CBD 🤣🤣🤣🤣Ata usibishane nao..ushaona wa kwao..tazama hayo mazingira...
na kama kweli ni 20%, mbona basi mnashikilia bado makao makuu arusha, na wala ata sio tororo ama jinja.? mbona bado hamjaikana hadi wa leo.!?🤔Ukweli ni kwamba, Tanzania ndio chimbuko la SADC, bila Tanzania kusingekuwepo na SADC. SADC ni mtoto wa "Front line states", ambayo ndiyo iliyoongoza mapambano ya kuzikomboa nchi zote zinazounda SADC, ukiacha Lesotho, Zambia, Malawi na DRC, kiongozi wa hiyo "Front line states" alikua ni Nyerere na makao makua ni Dar.
Baada ya ukombozi kukamilika, Nyerere akasema nchi zote zilizokua zikipigania uhuru wa kisiasa ziungane kwa pamoja na kupigania uhuru wa kiuchumi, ndio ikazaliwa SADCC, ambayo baadae ikazaliwa SADC. Makao makua yalipendekezwa yabaki Tanzania, lakini Nyerere akasema yahamishiwe katikati ya nchi wanachama wa SADC, ndio yakahamishiwa Botswana.
Kama ambavyo chimbuko la EAC ni Nyerere, hata chimbuko la SADC ni Nyerere (Tanzania). Tanzania ipo karibu zaidi na EAC "Geographically", lakini ni SADC by birth, spiritually, Faith, and Mentally.
Tatizo ni ninyi wakenya mnajaribu kutulazimisha tubaki EAC wakati Kenya na Tanzania hatuna historia yoyote ya mashirikiano zaidi ya mivutano na tofauti za kiitikadi, Kenya mnalazimisha Tanzania iegemee zaidi EAC kwasababu kuu mbili
1)Uchumi wa Kenya unategemea Sana "EAC"
2)Kenya Haina uwezekano wa kuomba kujiunga SADC kutokana na usaliti wenu kipindi cha Ukombozi kusini mwa Afrika
Summary;
Tanzania 80% SADC, and 20% EAC
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mishahara ya hawa Watanzania wanaofanya kazi kwenye hii migodi umeijumuisha?Remittance ya Kenya hiyo unayoibeza kwamba ni ya umalaya inaleta $3.7 billion Kenya kwa mwaka wakati madini zenu zote, yaani sio dhahabu tu bali madini zenu zote zinawaletea $3.5 billion au $3.6 billion. Kuna video inasema $3.5 billion na kuna article inayosema $3.6 billion. Lakini whether it is $3.5 billion au $3.6 billion bado mapato yetu ya remittance imeshinda mapato yenu ya sector ya madini.
Migodi ya dhahabu inaendelea kufunguliwa mzee! So chill out!Remittance ya Kenya hiyo unayoibeza kwamba ni ya umalaya inaleta $3.7 billion Kenya kwa mwaka wakati madini zenu zote, yaani sio dhahabu tu bali madini zenu zote zinawaletea $3.5 billion au $3.6 billion. Kuna video inasema $3.5 billion na kuna article inayosema $3.6 billion. Lakini whether it is $3.5 billion au $3.6 billion bado mapato yetu ya remittance imeshinda mapato yenu ya sector ya madini.
Who told you apo ni CBD? Do you even hio street iko upande gani? 🤣 🤣 ..i thought mnajua Nairobi nje ndani...as you people claim..At least sio CBD 🤣🤣🤣🤣
CBD yenu should resemble Wallstreet ya New York 🗽 sio Buguruni kwa Mnyamani 😂😂😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wacha tuone kama itafanyika. Next week sio mbali.
Who told you apo ni CBD? Do you even hio street iko upande gani? 🤣 🤣 ..i thought mnajua Nairobi nje ndani...as you people claim..
K buku3 duhAta usibishane nao..ushaona wa kwao..tazama hayo mazingira...
Kweli reasoning ya mchumi sijui accountant Tony254 imeenda hali jojo hapoHuwezi kulinganisha economic benefits zitokanazo na mining na remittance, kama Tanzania government imepata revenues ya $3.5b ujue money circulation ni zaidi ya hiyo pesa.
Tony254 Akakope hata internet ahakikishe anaangalia hii video ya local company inaitwa AKO inavyoreap big kwenye mining companies, na ajifunze indirect benefits in investmentKweli reasoning ya mchumi sijui accountant Tony254 imeenda hali jojo hapo
Huyo mwenye kofia nyuma.. bila hata kuambiwa mshajua anatoka nchi gan[emoji28]
View attachment 2250378