Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha ujinga inflation imepanda dunia nzima. Sasa unapinga pia hilo? Ulirogwa na nani wewe kiasi cha kupinga hata vitu obvious? Kwani ni uongo kwamba in the last one year inflation imepanda katika majority ya nchi za dunia? Ukiangalia data ya April 2021 na April 2022 ya nchi nyingi utaona ninachosema. Usiwe unapinga hovyo.
 
Nionyeshe any article from TARURA ambayo inaonyesha wanajenga an average of 1000km of paved roads per year nifunge hii account sahii.
Focus ya Tarura kwa sasa ni gravel roads Vijijini ili kufungua Nchi kufika kusiko fikika.

TARURA imeanza last 5 years kwa hiyo tuna Kazi ya barabara za Vijijini zaidi..

By the way kwa mwaka tunajenga wastani WA km zaidi ya 400 za lami na Kwa maana hiyo ndani ya miaka 5 ni zaidi ya km 2,000👇
 

Attachments

  • IMG_20220524_173524_646.jpg
    947.6 KB · Views: 31
  • IMG_20220524_173605_258.jpg
    707.2 KB · Views: 36
  • IMG_20220529_114343_227.jpg
    1.2 MB · Views: 35
  • IMG_20220529_114506_002.jpg
    1.5 MB · Views: 34
  • IMG_20220529_114618_594.jpg
    1.4 MB · Views: 35
  • IMG_20220529_114250_339.jpg
    1.1 MB · Views: 33
  • Screenshot_20220604-092730.png
    46.8 KB · Views: 30
Huu ukweli lazima ilikuuma sana, Mombasa na Dar zinatembea pamoja maandishi yako yatabiki kukua tu maandishi 🤣 🤣🤣🤣🤣 😆 😆 😆
ningekua siijui mombasa kweli ungenidanganya lakini mbaya zaidi huna kitu utanidanganya🤣🤣 mm nakuomba upumzike kwa sasa najua relay ishapata moto
 
Inflation Ya Kunyaland ni majanga 🤣🤣
 

Attachments

  • Screenshot_20220603-083331.png
    120.4 KB · Views: 29
  • Screenshot_20220603-083417.png
    43.5 KB · Views: 29
Hahaha ni vizuri umekubali bado mko nyuma lakini munajipanga. 😀
Pamoja na kuwa mpya ila Kazi makini ya TARURA inaendelea 👇
 

Attachments

  • thumb_1011_800x420_0_0_auto.jpg
    45 KB · Views: 29
  • 3-31.jpg
    89.4 KB · Views: 31
  • images - 2022-04-26T160713.084.jpeg
    32.2 KB · Views: 30
  • images - 2022-04-26T160617.525.jpeg
    37.6 KB · Views: 34
Eurowings imeanza kutua leo KIA direct from Frankfurt ,next week Turkish airline nao Wana resume flights za Instanbul -Kia 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220604-100301.png
    78.7 KB · Views: 34
  • Screenshot_20220604-095517.png
    138.6 KB · Views: 32
Woiyeeee wanajenga only 400km of paved roads per financial year for both Urban and Rural roads.
Leta zenu tulinganishe kwenye category zote za paved na unpaved..

Nimekwambia TARURA kwa sasa iko focused kufungua vijiji vyote Ili viwe accessible kwa gravel roads kama tulivyofanya kwenye umeme..

Tanzania ni kubwa 3 times ya Kakenya kwa hiyo hatuwezi ku focus kwenye paved kwa sasa hadi tuifungue Nchi.👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220604-082128.png
    51.7 KB · Views: 34

Hata hujui nini waongea.

SADC was *particularly established by Tanzania and Zambia - other countries invited to the gathering of its establishment were: Botswana, Angola and Mozambique.

The aboved mentioned countries are the original members of SADC, the rest of SADC members are invitees.
 
Watz wengi pia hawajui kama hii nchi iko mbali sn kimaendeleo, japo cku hz pia watanzania wengi wameanza kujua uzuri wa nchi yetu kulinganisha na hv vinchi vya EA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…