Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nani anachukia wao kufaidika na COMESA?
COMESA hakuna kitu mkuu, ndio sababu wakenya walipiga Sana kelele tulipoamua kujitoa COMESA, waulize wakupe takwimu za biashara wanayofanya na COMESA, hawana kwa kukimbilia zaidi ya EAC hapa Afrika, kwa kifupi Kenya hutegemea Tanzania na Uganda tu hapa Afrika, na South Afrika, nchi ambayo waliisaliti enzi za utawala wa wazungu[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Na sisi mda sio mrefu tunaungana nao huko
Sema wamechelewa sana kufanya hivyo china na russian walitakiwa siku nyingi wawe na hiyo pesa ya pamoja hata kama pesa zao za ndani zikibaki ila wawe nw pesa ya biashara ya kimataifa
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Siasa ya bongo ni ya kishamba sana. Eti huyo amepatia watu hearse. Hii lorry itakuaje hearse.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Pambaneni na ukabila kwanza, kumbuka "yribalism is a primitive way of life, it remains only in primitive communities".

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Haya ni mambo magumu sana. Democrats japo nawasupport wataangushwa kwenye uchaguzi wa November kwa sababu ya high inflation. Wamarekani wapo sensitive na mambo ya uchumi.
Hapo kwenu "inflation" ikipanda mnasema" it is a global problem, it happens even in western countries", kwenu ninyi kila linalotokea nchi za mabwana zetu mnadhani ninyi hamuwezi kupambana nalo.,[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
ikiwa mwanza tu inajinyea unaiwazia dar πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ naona ushajua kutofautisha kati ya street na main road
Huu ukweli lazima ilikuuma sana, Mombasa na Dar zinatembea pamoja maandishi yako yatabiki kukua tu maandishi 🀣 🀣🀣🀣🀣 πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
 
πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†pole bro naona na vilaza wenzako mmejitekenya na kucheka, poleni sio kwa kupenda kwetu ni Kenya ilivyo., hii povu mmemwaga humu imevunja rekodi ya jf, na bado mtazimwagaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜†πŸ˜†
 
Wanapiga kelele mingi alafu at the end of the day..wako na interchange na fly over less than 5 ..The whole of tanganyika na zanzibar...such a shame...
Kwa kiswahili hawa vilaza hamtowaweza, ikija empty domo domo ni mabingwa, kwanza wakifinywa na facts., watavuja povu na useless points, ona eti vipicha vya barabara kujiliwaza.., Google earth, TANROADS, NBS, WB, IMF asanteni sana! Tz ni mifukara bin mikwara 🀣 🀣 🀣 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…