Wewe huoni hata twiga wenu wana umri mdogo kushinda wale wa Nairobi? Usilete ligi kwenye kila kitu. Nairobi giraffe centre imekuwepo kwa miaka nyingi. Hii yenu imeanzishwa tu juzi kwa sababu lazima mucopy Kenya kwa kila kitu. Nairobi ina mambo mengi. Hapa Nairobi tuna elephant orphanage ambayo nyie hamna. Ndovu wachanga ambao wazazi wao wamefariki wanalelewa hapo.Yah iyo ndo babalao inakuja kumpiku giraffe mannor
Ni 12,950 tarmacked out of 160kKwani ni uongo., in 2018 tarmacked road ukilinganisha na total number ya road network ambayo ni 160,000km, not tarmacked will be slightly more than 90%., kama kwa sasa only 23,000km iko tarmacked, out of 160,000km plus., ukifanya hesabu utapata percentage ngapi? more than 86% is not tarmacked., umechunguza na ya Tanzania.., total road network vs tarmacked? yaani mko na over 90% not tarmacked in 2022., yaani unajaribu kujitekenya lakini wapi., ama ulitaka tupinge? still mnabakia kwa mkia wetu., hadi raha [emoji23] [emoji23] [emoji38]
Mbona nimeitafuta online na sijaiona? Au hawana online presence? Mimi naona tu ya Nairobi online.
cc Tz_one
Ishakua zilipendwa iyo Serval willdlife ndo babalao saiviWewe huoni hata twiga wenu wana umri mdogo kushinda wale wa Nairobi? Usilete ligi kwenye kila kitu. Nairobi giraffe centre imekuwepo kwa miaka nyingi. Hii yenu imeanzishwa tu juzi kwa sababu lazima mucopy Kenya kwa kila kitu. Nairobi ina mambo mengi. Hapa Nairobi tuna elephant orphanage ambayo nyie hamna. Ndovu wachanga ambao wazazi wao wamefariki wanalelewa hapo.
View attachment 2249559
Hapa ni John Kerry wakati bado alikuwa secretary of state of USA akimpa mtoto wa ndovu maziwa
View attachment 2249561
Huyu ndiye mzungu aliyeanzisha hili elephant orphanage hapa Nairobi kwa jina la Daphne Sheldrick
View attachment 2249562
Katoto ka ndovu kanapewa maziwa
View attachment 2249563
Haka nako kanabugia kote bila kubakisha hata tone.
View attachment 2249564
Huyu ni mjanja wa mjini anajua kujinywesha, hataki usaidizi
View attachment 2249566
cc Tz_one
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inasemekana 40 km Thika Highway ilihesabiwa kwa number of lanes times the Highway length!
Inauma zaidi unapogundua hujaleta evidence hata moja mpk ss ilihali Watz wanazidi kutoa evidence ya road network [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jioni njema guys.., ukweli unatesa lakini itabakia tu kua vile., enjoy. Bye for now.,
So tuwache information ya president tufwate hii blog. π€£ π€£ π€£Ni 12,950 tarmacked out of 160k View attachment 2249578
Ye jamaa analeta story tu kwenye maandishi ππ leo wamekula kichapo sio size yaoInauma zaidi unapogundua hujaleta evidence hata moja mpk ss ilihali Watz wanazidi kutoa evidence ya road network [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakunya wameshakuacha peke yako mkuu, wewe endelea kuwapa dozi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]35. Bulamba > Kisorya 51 kilometers
[emoji2926]. 2834 km
Leta evidence to support your president's claims .. tunataka kuona hizo roads manzee ππSo tuwache information ya president tufwate hii blog. π€£ π€£ π€£
Kenya is the father of unfinished projects ever.These guys never complete their roads look at these unfinished roads [emoji115]
Go back and check nimepost tu sahii jioni and it's only from one road agency, which is doing an average of 1000km of paved roads per year.Leta evidence to support your president's claims .. tunataka kuona hizo roads manzee ππ
Heb wacha kuchekesha πππGo back and check nimepost tu sahii jioni and it's only from one road agency, which is doing an average of 1000km of paved roads per year.
President yupi? Laptop per student ππππSo tuwache information ya president tufwate hii blog. π€£ π€£ π€£
[emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa wale wanaosema Thika Road haina markings. Haya, ndio hiyo Thika Road. Angalia jiji lilivyo safi na kupangika, hamna majengo ovyo.