Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo distance ya ukingo wa Bahari ya Hindi mpaka Gambia ni ndogo ukilinganisha na distance ya Dar mpaka Chato? Kaka hapa umechanganya madesa!

Walimaanisha ni mbali sana. Hii ina emphasize ukubwa wa hii Nchi. Kwa wale waliopita HGL, HKL wanajua yale mambo ya figure of speech ya SIMILE na METAPHOR. [emoji41]
 
😂😂😂 Kumbe hata kusoma hiyo ramani hujui 😂😂 sikia TZ kuna bodi mbili za barabara ambapo tuko na TANROADS (kwaajili ya barabara kubwa tu) na TARURA (barabara za ndogo ndogo za ndani) .. hizo ramani umepost hapo zinaonyesha barabara kubwa tu zinazounganisha mikoa (Regional roads network). Kwahyo kama ARUSHA iko na hiyo network hiyo Mombasa ni vichekesho 😂😂😂
 
Kumbe Tanzania ni hovyo.., ona black lines ni tarmac.., Vumbi nation, sihitaji dhibitisho ya vipicha naeza tumia google earth.,
Asante sana TANROADS kwa kuweka kila kitu wazi chongchung na The best 007 hawatanipotosha,🙏😆😆😆😂😂.,
ona mifano👇👇👇 wasio penda ukweli wajinyonge😜





 
Wanakagua ujenzi wacha ujinga. Huu sio uzinduzi. Huu ni mchezo wa kitoto sasa. Unataka Wakenya wapost uzinduzi ilhali wewe unapost ujenzi. Akili kichwani basi.
Ruhusa kupost hata za ukaguzi. Ongeza za uzinduzi, ongeza za kutiwa sain (ila onyo, msizirudie). Tunataka kuona 11000km za barabara zenu alizosema Uhunye. Mbona issue nyepes tu ila mnalialia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…