Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

How much is the entrance fee.?
how girrafes ni wanatokea national park au walihamishwa wanafugwa humo ?
Watu kutoka nchi za East Africa wanalipa ksh 400 which is just $4. Watu wanaotokea nje ya East Africa wanalipa ksh 1,500 which is around $15.
Kuhusu swali lako kuhusu hawa twiga. Hawa wanafugwa hapo giraffe centre. Hawaishi porini. Wameshazoea kutangamana na watu na ni wapole. Hakuna cha kuwaogopa maana ni wapole sana, wao wanataka tu chakula. Unawalisha na unapiga picha nao.
 
Hizi nazo ni road za kusubiri uzinduzi wajameni?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2249287View attachment 2249288
Yaani uko desperate, do u know how this roads look like kwa sasa? utanyongwa na wivu soja boy 🀣 😜 😜 πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Yaani uko desperate, do u know how this roads look like kwa sasa? utanyongwa na wivu soja boy [emoji1787] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa roads za jua kali tangu ujenzi wake ndiyo za kulingia? Kwnn unasema muonekano wake wa sasa? Nyie ni mabingwa wa jua kali projects, hata Thika pia ni jua kali [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
6. Sanzate Nata 50 kilometers

πŸ›£οΈ 903 km

Kweli umelemewa, sasa hizi ni upuzi gani unapost? ukimaliza post na data from your roads body total paved network, usiogope., wacha niendelee kukup facts naona umekwepa unatafuta pakutokea sasa..,

The best 007 ., usikimbie..,



Note the highlighted bit., as at June 2021.., πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡
 
Asante kwa kupost hili. chongchung hii ni data ya KNBS. Usijaribu kupinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…