Huyo ni Veronicah ambaye hatujui ni nani. Rais Uhuru mwenyewe kwa mdomo wake alisema amejenga 10,000km Sasa mbona unawasikiliza akina Veronicah na rais mwenyewe keshaongea kwa mdomo wake mwenyewe?Tena ni over 11k πππ
Mbona mnaanza kuzipunguza mapema hivi π€£π€£π€£
Lakini maneno ya uhuru ni yeye mwenyewe, former presidential tenures excludedYou have a point but hapa tunaongea only kuhusu completion date. Uhuru commissioned the entire 500 km road once it was completed, regardless of who started it.
Cc chongchung
Naomba ushahidi bwana TonyHuyo ni Veronicah ambaye hatujui ni nani. Rais Uhuru mwenyewe kwa mdomo wake alisema amejenga 10,000km Sasa mbona unawasikiliza akina Veronicah na rais mwenyewe keshaongea kwa mdomo wake mwenyewe?
Tafuta speech ya Uhuru ipo kila mahali mtandaoni. Usinipe kazi ngumu. Kwanza ameitaja mara mbili au tatu.Naomba ushahidi bwana Tony
Haya, tuendeleeTafuta speech ya Uhuru ipo kila mahali mtandaoni. Usinipe kazi ngumu. Kwanza amweitaja mara mbili au tatu.
Hata Uganda LPG na oil percent kubwa inatoka Tanzania!Kwani hii reginal inaundwa na Uganda pekee, Tanzania ni tegemeo kwa nchi zote ukanda huu, Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi, DRC, na Kenya & kwenye LPG, Kenya zaidi ya Uganda, ni nchi gani tena zinategemea bandari yenu?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huna hata aibu... [emoji23] [emoji23] [emoji23]You have a point but hapa tunaongea only kuhusu completion date. Uhuru commissioned the entire 500 km road once it was completed, regardless of who started it.
Cc chongchung
Sasa uwasikie wenyewe na Kiingereza chao kibovu wakisifia Nairobi utafikiri ni Tokyo fulani.Kwa Jinsi wanavyoongea watu wa Huu mji nilitegemea Kuendane na maneno yao.
Kwenye Video Properly marked roads ni mtihani , Full of Chaos na hii ni Jumapili je siku za kazi inakuaje. Pia inaonekana Mikokoteni inalipa maana ipo kila kona, Jiji halina Bus la maana hata moja na malori yaliyogeuzwa kubebea abiria yapo kila kona . Wana kamera barabarani ambazo zinasaidia mengi pamoja na kuweka order ila sidhani kama zinatatua mambo hayo. ( Traffic na Police wangekusanya rundo la pato kutokana na kuwaadabisha wanao sababisha kutokua na order mfano maeneo ya pedestrian na kusimamisha magari ovyo kila eneo hasa ya abiria. Moi avenue imesifiwa na mwenye video kwamba ni properly marked road lakini kwa Taifa la uchumj mzito hivyo haina maajabu yoyote.
Pia swala la ukusanyaji taka ni majanga, kuna taka kila eneo.
Ule ugonjwa wa Dar wa Machinga pembezoni mwa Barabara naona tumewaachia wao.
Naona huu mji hauheshimu hata kidogo Pedestrian, wanavuka ovyo hakuna maeneo yao muhimu ya kuvukia na wengine wanatembea juu ya Fly over .
View attachment 2248867
View attachment 2248868
View attachment 2248869
View attachment 2248870
View attachment 2248871
View attachment 2248872
View attachment 2248873
Machinga Kambi popote .
View attachment 2248874
View attachment 2248875
Watu wanatembea juu ya Fly over .
View attachment 2248876
View attachment 2248877
View attachment 2248878
Typical Third world city type with African broken streets.
View attachment 2248883
View attachment 2248884
View attachment 2248885
View attachment 2248886
View attachment 2248887
So ni uongo Kenya bado kuna njaa?Hadi Sasa you never noticed with Kenyans who hate the government hata ujenge Nini they will always find a thing to complain. Build them roads you will see a section complaining that we don't eat roads, bring a good education system wengine ndio Hao that it is too engaging, Mafuta inakosa worldwide wanasema uhuru ameficha mafuta... It helps sometimes to keep the government in check because anything guys complain in tweeter is picked by the main stream media's but sometimes they too much... They don't know how to appreciate, now a Tanzanian reading might think Kenya is burning but in real sense we having it better than most African countries.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa ndipo unawakimbiza, na mkuu naomba uwe unashikilia hapo hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Simba 254 hii report ya WB ni 2017 December so ni 2018, Kenya ina kilometers 11k tu za lami, kwahiyo uhuru kajenga hizo kilometers 11k ndani ya miaka mitatu, today's just June? [emoji13][emoji13][emoji13]
View attachment 2248837
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leta articles zenye hiyo habari sasa, leo tunahesabu kilometer 1 baada ya nyingine mpaka tumalize kilometers 11k za Uhuru [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwa unasema hv hv lkn huwa haurudi mbwa wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tuliza matako nakuletea sahizi Wacha kuruka Ruka Kila Mahali
Hawa ni mbuzi, ata upige guitar hawawezi kuskiza., utachoka bure, jienjoy, they can't change facts kuhusu Kenya ndia maana wamekimbilia tweeter, reputable bodies zimewaumbua, they have nothing substantial.Hadi Sasa you never noticed with Kenyans who hate the government hata ujenge Nini they will always find a thing to complain. Build them roads you will see a section complaining that we don't eat roads, bring a good education system wengine ndio Hao that it is too engaging, Mafuta inakosa worldwide wanasema uhuru ameficha mafuta... It helps sometimes to keep the government in check because anything guys complain in tweeter is picked by the main stream media's but sometimes they too much... They don't know how to appreciate, now a Tanzanian reading might think Kenya is burning but in real sense we having it better than most African countries.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa Jinsi wanavyoongea watu wa Huu mji nilitegemea Kuendane na maneno yao.
Kwenye Video Properly marked roads ni mtihani , Full of Chaos na hii ni Jumapili je siku za kazi inakuaje. Pia inaonekana Mikokoteni inalipa maana ipo kila kona, Jiji halina Bus la maana hata moja na malori yaliyogeuzwa kubebea abiria yapo kila kona . Wana kamera barabarani ambazo zinasaidia mengi pamoja na kuweka order ila sidhani kama zinatatua mambo hayo. ( Traffic na Police wangekusanya rundo la pato kutokana na kuwaadabisha wanao sababisha kutokua na order mfano maeneo ya pedestrian na kusimamisha magari ovyo kila eneo hasa ya abiria. Moi avenue imesifiwa na mwenye video kwamba ni properly marked road lakini kwa Taifa la uchumj mzito hivyo haina maajabu yoyote.
Pia swala la ukusanyaji taka ni majanga, kuna taka kila eneo.
Ule ugonjwa wa Dar wa Machinga pembezoni mwa Barabara naona tumewaachia wao.
Naona huu mji hauheshimu hata kidogo Pedestrian, wanavuka ovyo hakuna maeneo yao muhimu ya kuvukia na wengine wanatembea juu ya Fly over .
View attachment 2248867
View attachment 2248868
View attachment 2248869
View attachment 2248870
View attachment 2248871
View attachment 2248872
View attachment 2248873
Machinga Kambi popote .
View attachment 2248874
View attachment 2248875
Watu wanatembea juu ya Fly over .
View attachment 2248876
View attachment 2248877
View attachment 2248878
Typical Third world city type with African broken streets.
View attachment 2248883
View attachment 2248884
View attachment 2248885
View attachment 2248886
View attachment 2248887
Wamenitelekezea jukwaa mkuu ππππHapa ndipo unawakimbiza, na mkuu naomba uwe unashikilia hapo hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hehehe, unajua lami ilio tandazwa North Eastern wewe? hadi Ethiopian border, kwanza ndio ilipatia Uhuru votes in 2017 kutoka hizo eneo, hawakukua wameona lami tokea independence., kalilie kwa choo, tumewaacha mbali mlidhania sisi ni wenzenu , mko down nanii π π π π π