chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
Chadomo ndio kina nani kwenye hii Nchi?Huyu jamaa bana, hoja ni ya kawaida tu.. ila unaingiza eti sukumagang.. hio partnership, chadema watakubali? Si watasema serikal inatoa hela CCM kwa ajili ya uchaguz.. sio kila kitu sukumagang 😂.. so kiufup mama hataki hizo lawama.. mbona dodoma ina jamhur (ccm) na inajengwa mwingine? arusha mbeya zote zina stadia za ccm .. kwann asijenge huko majiji mengine kwa hio partnership..
Tutawakuta tuu ndio maana mna hofu ya kupitwa kwa ku block malori ya Tanzania hasa ya LPG kule Namanga mpakaniYeah Kenya is on the move.
Toa upumbavu hapa,Uwanja wa Kirumba haitoshi?Mwanza ipo Tanzania (2nd biggest city in Tanzania), haipo kenya wala uganda.. kukihitajika uwanja mwingine wa serikal.. serikali itajenga.. wivu kwa mwanza au sijui kwa wasukuma (mim sio msukuma) peleka kwenu.. huyu jamaa vip 🤣
Ni sawa kukosoa ila kumhusisha Mungu na upumbavu sio sawa..Huyo jamaa ajitafakari.Wacha kelele ya chura.
I remember reading this propaganda sometime back, huwezi kuficha ama kudanganya mtu upande wa barabara, yani kile kinacho onekana, u can't easily lie to Kenyans, sisi sio watanzania the reason this propaganda didn't trend in Kenya. Kenya Bureau of Statistics (KNBS) did their research and came up with the total number of paved roads in Kenya. Maybe Kenyatta achukue credit kwa zile za Kibaki alizo acha zikiendelea aseme ni yeye alifanya, but paved roads Kenya has over 20,000 kwa sasa, najua inawaumiza lakini ukweli ni huo, zoea.Angalia mazingaombwe ya kilometers za kunyata 😅😅😅😅 2000 kilometers of paved roads is less expensive than 700 kilometers 😅😅😅😅
Numbers nev lie 🤣🤣🤣
Wakunya sijui ufala wa kudanganywa na viongozi wenu utaisha lini
View attachment 2247784
Hii kampuni inazalisha hizo pipes siku nyingi tuu na sisi Mkoani kwetu tunatumia kama mbadala wa wa concrete pipe culverts,ziko vizuri kabisa na ni kampuni ya Wazawa.
Hii data ni kutoka kwenye authorities zenu, kwa akili yako kilometers 2000 za lami zinaweza kujengwa kwa bei rahisi kuliko kilometers 700I remember reading this propaganda sometime back, huwezi kuficha ama kudanganya mtu upande wa barabara, yani kile kinacho onekana, u can't easily lie to Kenyans, sisi sio watanzania the reason this propaganda didn't trend in Kenya. Kenya Bureau of Statistics (KNBS) did their research and came up with the total number of paved roads in Kenya. Maybe Kenyatta achukue credit kwa zile za Kibaki alizo acha zikiendelea aseme ni yeye alifanya, but paved roads Kenya has over 20,000 kwa sasa, najua inawaumiza lakini ukweli ni huo, zoea.
Excuses won't save ur ass [emoji36]Hata ikiwa kwamba ni kweli mna more registered vehicles sasa cha kushangaza hapo ni nini? Nyie mpo watu 62 million wakati sisi tupo watu 50 million. Kumbuka bado sina data ya KRA au KNBS.
Tra ndio wanasajili magari sasa hapa ni unatapatapa[emoji23] [emoji23] View attachment 2247706
Hakuna namna, nikuvumilia tuu kaka. Ni new world order inalazimishwa ila warusi wamesema hapana, kwa gharama yoyote ile, kama walivyofanya pale Stalingrad.Hivi vitu vinaongeza shortage ya fuel kwetu huku dunia ya tatu . Maana mfumuko wa bei unaongeza kwa kasi ya ajabu . Impact yake itakua mbaya Afrika kuliko huko kwenye vita
Miaka 10? Kwahyo sgr ilianza kujengwa 2012?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wazimu[emoji23][emoji23] jamaa wanajenga reli miaka kumi haiishi. Wanashindana na ndovu kunia
Ameopt data za statista 7bu zinawafavor wao,desparationSources: Statista vs TRA (wasajili wa magari TZ). Polen na maumivu [emoji38]
Daima Tz hatuwezi kutumia kitu ambacho hakijaisha, sisi huwa tunasubiri iishe zen ndio tutumie, Kenya is the only country in the world that has been using unfinished projects kama unavyoona hapa chini [emoji116][emoji116]Inatumika na yenu haitumiki
5000 mbona nyingi kupata kilometers 10000 inabidi uwe unajenga barabara nyingi za urefu mkubwa. Sasa embu watupe angalau barabara moja yenye urefu wa km 500 iliyojengwa mwaka 2021/2022 au 2020/2021Nimekuambia uniletee 1 trillion ikitumika kujenga lami kwa miaka 9, matokeo yake imeniletea mipasho
Haya niletee kilometers angalau 5000 basi alizozindua kwa mkupuo.