Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,173
- 107,750
Kuna mtu alidai the 84 km dual carriage in Kenya is the longest in East and Central Africana wao 2020 wako na 11,000km 🤣🤣🤣alaf anakuja na data za kupika zile ambazo uhuru hutumia kuwadanganya wampe kura tena ili awachezee kende mpaka za wajukuu zao
tuusan kuna siku uliuliza kuhusu barabara za Kenya. Hapa kuna 84 kilometre dual carriageway ambayo itamalizika mwishoni mwa mwaka huu. Rais wa Afdb Akinwumi Adesina amekuja kutembelea mradi huu. Hii ndio itakuwa the longest dual carriageway road in East and Central Africa. Hakuna barabara ndefu yenye leni nne kushinda hii. Inaitwa Kenol-Marua road. 84 kilometres ya dual carriageway sio mchezo.
Wow. Thank you for the information. Geza Ulole sasa umesikia? Kuanzia Nairobi CBD hadi Marua ni dual carriageway distance ya takriban 150 km. Sitakuita mpumbavu kama wewe ulivyoniita ila jifunze kwamba mwishoni mwa mwaka huu Kenya itakuwa na 150 km of continuous dual carriageway.
Kila mwaka barabara zinazinduliwa mpya...sinijuzi tu Pres SSH kazindua zaidi ya 400km Tabora,miaka miwili ya 2020 na 2021 hakuna mwaka hawajazindua barabara zenye lami....itakua washafika 14k +++Hii ni report ya 2019
Km of roads network in Tanzania. Kwa sasa tudeal na paved roads tu
TARURA (district roads) = 2,250.69km
TANROAD (Truck & Regional) = 8,671km + 1,808km
Total of paved roads = 12,729.69 km mwaka 2019
View attachment 2247537View attachment 2247538
Wakuu mnaona mboga zinauzwa kwa pavement.
Raw Sewage kila pahali hadi kwa beach.
Kubabake hawa mbwa ni wachafu sana. Hii ndo Mara yangu ya kwanza kuona sewage baharini.
Danganyika is extremely filthy. Dar is a slum ni mji mchafu sana sana
There's a report I read a few years back that Dar cbd ni sehemu chache sana ziko connected to sewerage system. Seeing this picture, it's hard not to believe such stories
Heb tuonyeshe hio Dodoma ring road.Kuna mtu alidai the 84 km dual carriage in Kenya is the longest in East and Central Africa nilipomuonyesha Dodoma ring road 112.2 km kabadilika anadai wao wana 150 km.
Mradi wa Uvinza-Msongati-Gitega upo kwenye manunuziHivi ule mpango wa kujenga line iliyokuwa inaanzia Uvinza kwenda Musongati Burundi, ulishakufa?
Umesahau kumalizia, "lakini wametengeneza pesa mingi sana kipindi hicho kuliko miaka ya nyuma"
Gonga hapa!Heb tuonyeshe hio Dodoma ring road.
CC: Tony254Tulisemaga magari yaliyosajiriwa Tanzania yako ngap? Na Kenya ni ngap? Naomba majibu kwanza..data za Tanzania ninazo
Zanzbar nayo si Tanzania? Tuwaongezee na hizi za kutoka Zanzbar (2018)..Kila mwaka barabara zinazinduliwa mpya...sinijuzi tu Pres SSH kazindua zaidi ya 400km Tabora,miaka miwili ya 2020 na 2021 hakuna mwaka hawajazindua barabara zenye lami....itakua washafika 14k +++
na wao 2020 wako na 11,000km [emoji1787][emoji1787][emoji1787]alaf anakuja na data za kupika zile ambazo uhuru hutumia kuwadanganya wampe kura tena ili awachezee kende mpaka za wajukuu zao
Nawasubiria.. wasije wakapika data tena baada ya kuwatumia yetu