Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Matunda yanatamanisha, huu ndio uzuri wa Tanzania tunaouhubiri humu ndani.
😂 😂 😂 😂 😂 😂
Desperation of the highest order! Hata hamna haya mnatuwekea picha za vibanda as if haziko Kenya. Look bongolala, wakati wengine wanaenda na mwendo wa dunia, nyinyi bado mpo stone age and you are even shouting about it 😂

Huku kwetu we are transitioning from selling our groceries on roadside vibandas to modern grocery stores.

This is Zucchini, a grocery store that sells nothing but green groceries alone and it has several branches in the city. Tukisema tuko mbele yenu this is what we mean
 
Huo ni wa CCM.. mama anaongelea vya serikal.. ndo mana hajautambua wa mwanza..
Hata kama CCM inaweza kuingia patnership na serikali msilete u-sukumagang kila kitu kijengwe Mwanza! Majiji Tanzania yako mengi hayana viwanja vikubwa Tanga, Dodoma, Arusha, Mbeya hata Morogoro papewe priority zaidi! Nyie mmejengewa mpaka Bus terminals mbili hata Dar yenye over 5 mln inhabitants haina!
 
joto la jiwe najua wivu itakuuwa. Rais Uhuru amesema kwamba mwaka wa 2021, Kenya ilipokea remittance ya zaidi ya ksh 400 billion. Hio ni around $3.7 billion. Na kweli nikiangalia mtandaoni naona ni ukweli. So mwaka huu wa 2022 remittance ya Kenya itafika $4 billion, ambayo ni ×4 ya mapato ya majani chai hapa Kenya.
 
Hata kama CCM inaweza kuingia patnership na serikali msilete u-sukumagang kila kitu kijengwe Mwanza! Majiji Tanzania yako mengi hayana viwanja vikubwa Tanga, Dodoma, Arusha na Mbeya!
Huyu jamaa bana, hoja ni ya kawaida tu.. ila unaingiza eti sukumagang.. hio partnership, chadema watakubali? Si watasema serikal inatoa hela CCM kwa ajili ya uchaguz.. sio kila kitu sukumagang 😂.. so kiufup mama hataki hizo lawama.. mbona dodoma ina jamhur (ccm) na inajengwa mwingine? arusha mbeya zote zina stadia za ccm .. kwann asijenge huko majiji mengine kwa hio partnership..
 
ati longest dual carriage in East and central Africa? How about Dodoma 110 km ring road? Wacha upumbavu! kwenye reli, meli na ndege hamtugusi hata kidogo!




Lol. Little information as usual.
84 km inayojengwa sasa hivi ni extension ya Nairobi - Thika - Kenol superhighway/dual carriage.

The total uninterrupted dual carriage will be over 150km in length.

Alafu hio yenu ya Dodoma is just a ring road surrounding the town.
And its about the same length as Nairobi's ring road network (better known as the bypasses).

The Nairobi Western, Northern, Eastern, and Southern bypasses are all complete, and they form the same type of ring like your proposed Dodoma road.



Western bypass is the last to be completed, and it should be ready in a couple of weeks.

 
joto la jiwe najua wivu itakuuwa. Rais Uhuru amesema kwamba mwaka wa 2021, Kenya ilipokea remittance ya zaidi ya ksh 400 billion.
And the economy is rebounding fast, what makes me know, the company am in we made sales ya Kshs3 billion (Gross) in two months!!., and we sell locally., we had to pay workers incentives for motivation for the two months, wenyewe we were even shocked!.., Jana central bank have projected a 7.1% growth of the economy if u watched business news., kama unataka ku invest it is now!!
 
Yeah Kenya is on the move.
 
Mwanza haiitaji uwanja mpya mzee usidhani kila kitu kipelekwe Mwanza tu? kwani hii nchi ni ya wasukuma wa Mwanza tu? Majiji mbona yapo mengi? CCM Kirumba inaweza kuwa modernized na ikatoa international standard stadium!
 
Mwanza ipo Tanzania (2nd biggest city in Tanzania), haipo kenya wala uganda.. kukihitajika uwanja mwingine wa serikal.. serikali itajenga.. wivu kwa mwanza au sijui kwa wasukuma (mim sio msukuma) peleka kwenu.. huyu jamaa vip 🤣
 
Uhuru amerudia tena kwa mara ya pili kwamba amejenga 10,000 km of tarmac roads. Hii ndio itakuwa legacy yake.
 
Hapo hujadanganya. Only 9,000km of roads are paved in Tanzania.

 
Mwanza ipo Tanzania (2nd biggest city in Tanzania), haipo kenya wala uganda.. kukihitajika uwanja mwingine wa serikal.. serikali itajenga.. wivu kwa mwanza au sijui kwa wasukuma (mim sio msukuma) peleka kwenu.. huyu jamaa vip 🤣
Wivu au reality? Nakuhakikishia lazma watu wagome! Jiji halina hata timu ligi kuu! Uwanja wa nn? Si bora uende Morogoro!!

BTW wewe ni Sukumagang nn maana unalazimishia kila kitu pande hizo na hata last time ulikatalia kabisa SGR Uvinza-Msongati Gitega! Ukisema lazma ipite Isaka hata nilipowaambia umbali ni mkubwa kwa Burundi na Kagame ni tatizo haaminiki na wadau wenzie yaani Burundi na DRC!
 
One can also continue from Thika road to Forest road then join Uhuru Highway or expressway and head all the way to Machakos Junction an extra 50km.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…