Heheee...continue living in denial.ukipata time pitia skyscraper city ujionee vitu vinavyoenuka kizingo or better still njoo mwenyewe...msa na dar sio mbali20fl mombasa ni moja tu na bado inajengwa au pia wataka kutufunga kamba 😀😀😀😀😀
kwakwakwa asante sanaa ndugu 😀😀😀😀😀😀😀Heheee...continue leaving in denial.ukipata time pitia skyscraper city ujionee vitu vinavyoenuka kizingo or better still njoo mwenyewe...msa na dar sio mbali
KENYA BILA EFFECT HAMUWEZI THUBUTU KUTUMA PICHA ZA MIJI YENU , HUU APA UCHAFU TUThese guys think Mombasa is far behind...in fact this is a city that should be battling out with Dar especially since they are both coastal cities.
Check out mombasa.
View attachment 583808
View attachment 583809
View attachment 583811
You do realise there are better hopspitals than Kenyatta in Kenya, right? Private onesMuhimbili ikishindwa kenyata hosp itafanya nn? Ameletwa uko 4 security zaidi wala usijibambe
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Post kaka, si kupiga domoo hapakwakwakwa asante sanaa ndugu 😀😀😀😀😀😀😀
msa kwa dar ni uchafu imeshindwa nairobi sembuse msa😛😛😛😛
hio zanzibar tu inakutoeni jasho kwenye beach hotels
Hua tunawambia kariakoo inachezea ligi moja na pipeline na wala si mombasaso naona leo umeamua kutoa povu na kulia kias hicho nilishawaambia ukubwa wa kariakoo pekee ni sawa na city of mombasa kubali usikubali 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
naona dar imewanyima usingizi wakenya kabisa
hamuamini mnachokiona 😛😛😛😛😛😛
😀😀😀😀😀😀😀 asante kwa kuwakilisha hasira zakoHua tunawambia kariakoo inachezea ligi moja na pipeline na wala si mombasa
Arusha hamna nyumba ndefu nikweli lakin sioni sababu yakuilazimisha iwe ugly kama hupapendi pita wima sio lazima!!Yaaa...hayo ndio tunahesabu.20 floor and above.hayo ya 15 mnayojenga huko arusha yanatia aibu
rudi page za nyuma za hii thread....kila kitu kilishawekwa wazi kama vazi la kahaba.Kama Vipi tuanzeni kulinganisha slums za Dar na Nairobi. Hapo Tuyaone mema na mabaya pia, a.k.a mambo ya uvunguni.