Umerogwa ww, si akili zako hzI have a lot of respect for Kigali. The order and cleanliness. Nairobi want to initiate programs that will emulate Kigali on city neatness.
Though small, Kigali is a city to watch. Way a head of Dar es Salaam in many ways
Oooh but I guess pia facilitiesUshaambiwa ni sababu za kiusalama
Kikubwa ni usalama tu. Wamehofia atapigwa sindano ya sumu na kumaliziwa.Oooh but I guess pia facilities
Oh sasa nimeelewa. But I hope he starts a revolution. OppositionKikubwa ni usalama tu. Wamehofia atapigwa sindano ya sumu na kumaliziwa.
Tundu lisu kwa kuwa alikuwa akienda kinyume na mambo mengi yanayofanywa na selikali, hivyo basi husadikika kuwa huwenda selikali ikawa inahusika. Sasa ukiipelekea hiyohiyo selikali wanayoishuku wanahofia kumaliziwa kuko huko hospitalini. Ndoo maana kaja nai
ety nchini Nairobi. Nkt shoddy reporting.Okay now its official![]()
Haha eti floor 20Mombasa yangu jamani...magorofa ya 20 floors yanajengwa kibao na mengine yashakamilika,flyovers na interchange nazo vilevile.huko tanga,mwanza,arusha kote jengo refu ni 16 floor. Heheee...msinikumbushe kichapo alichopokea ichoboy kutoka kwa msa.naona sasa dar inashindana na msa




Muhimbili ikishindwa kenyata hosp itafanya nn? Ameletwa uko 4 security zaidi wala usijibambeOooh but I guess pia facilities
Nikwel man...kama tu mlivyona miji yakipumbavu nyiemiji ya Tanzania ni ujinga tu.....mnadhani mko LDC mbona
Yaaa...hayo ndio tunahesabu.20 floor and above.hayo ya 15 mnayojenga huko arusha yanatia aibu
Arusha Ni pazuri mno lol nimefall in love na ule mji mazingira na culture yake inanibamba sana...towers Ziko Dar n.a. nai mombasa kuna nn sasa zaidi ya bandariYaaa...hayo ndio tunahesabu.20 floor and above.hayo ya 15 mnayojenga huko arusha yanatia aibu
Hehee...hutaki kukubali kuwa kuna 20 floors msa?pengine ulipapeza zamani.huezi fananisha msa na mwanza wala arusha hata kama hatujapata ya 30 floorArusha Ni pazuri mno lol nimefall in love na ule mji mazingira na culture yake inanibamba sana...towers Ziko Dar n.a. nai mombasa kuna nn sasa zaidi ya bandari
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
dar es salaam vs all towns of kenya.Baada ya nairobi kupelekwa mswaki sasa naona wakenya wanalazmisha waingize na mombasa angalau wapumue maana hali zao zimekua mbaya baada ya kuona wasichoamini😀😀😀😀 dar of 2017
Sent by usiempenda kaja

so naona leo umeamua kutoa povu na kulia kias hicho nilishawaambia ukubwa wa kariakoo pekee ni sawa na city of mombasa kubali usikubali 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Mombasa yangu jamani...magorofa ya 20 floors yanajengwa kibao na mengine yashakamilika,flyovers na interchange nazo vilevile.huko tanga,mwanza,arusha kote jengo refu ni 16 floor. Heheee...msinikumbushe kichapo alichopokea ichoboy kutoka kwa msa.naona sasa dar inashindana na msa
20fl mombasa ni moja tu na bado inajengwa au pia wataka kutufunga kamba 😀😀😀😀😀Hehee...hutaki kukubali kuwa kuna 20 floors msa?pengine ulipapeza zamani.huezi fananisha msa na mwanza wala arusha hata kama hatujapata ya 30 floor