Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

it doesn't come as a surprise that Dar and Mombasa city have almost the same GDP and dollar millionaires. I know Tanzanians will oppose this bitter truth
naona mnatumia nguvu kubwa kutaka kuifanya nairobi ionekane ni kama amsterdam...smh.
 
So Tanzania has political heat and assassinations. ...kadoda napita tuu
bb5ee416866085a01c4d04d354501fa9.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
siasa za africa kila nchi ni majanga.........vipi wale walio muua msando,walishapatikana?.
 
hivi wamemleta Tundu huku Nairobi...hawana hospitali kule Dar? lol!
ni kwa sababu za kiusalama.

lissu ni mwanasiasa kinara wa upinzani katika kukosoa utawala wa magufuli.

hata tukio lililomtokea,linahusushwa na serikali.
 
ni kwa sababu za kiusalama.

lissu ni mwanasiasa kinara wa upinzani katika kukosoa utawala wa magufuli.

hata tukio lililomtokea,linahusushwa na serikali.
Mbona Magufuli sasa aanze vitu kama hivi mapema? Aaah! Mbona viongozi wa Afrika huwa hivi jamani?? Mimi hata sielewi mbona nikawa Mwafrika, aib!!
 
Kigali is a very clean city from what I have heard. ...I like Rwandese way of doing things and have a few friends from there too.
 
Wacha jokes ww, mombasa si kama tanga tu kuna nn ukitoa bandari.....Arusha tu japo ndogo inaiweza mombasa yenu Dar ipambane na Nairobi sio vitu vya kijinga

Sent using Jamii Forums mobile app
Huamini. Estates kama hizi hapa hazihesabiki, za jengwa usiku kucha,
Barabara za jengwa. Three Level Interchanges kadhaa na Madaraja matano kwenye bahari hindi.
Magorofa ya zaidi ya floor 21 kama kumi na mbili sasa hivi za jengwa. we niambie miaka miwili hivi Mombasa itakua wapi?
Bila ushabiki wowote

Screenshot_20170501-022532.png
Screenshot_20170501-022555.png
Screenshot_20170501-022745.png
 
Huamini. Estates kama hizi hapa hazihesabiki, za jengwa usiku kucha,
Barabara za jengwa. Three Level Interchanges kadhaa na Madaraja matano kwenye bahari hindi.
Magorofa ya zaidi ya floor 21 kama kumi na mbili sasa hivi za jengwa. we niambie miaka miwili hivi Mombasa itakua wapi?
Bila ushabiki wowote

tanga ni village ya waganga hata my village town of Homabay can put it to shame
 
wanapima arusha na Mombasa lol..........hawa wasee wana ugonjwa ya akili bana......Arusha tunaipea narok town
 
Tanga ni village man. Msiukosee mji wa Mombasa heshima tafadhali
tanga3.jpg
tanga1.jpg
tanga5.jpg
 
Attachments

  • tanga4.JPG
    tanga4.JPG
    132.5 KB · Views: 70
Back
Top Bottom