Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa lile tuta la Kituo cha mwendokasi Bongo Kama lorry litagonga kwa namna hiyo abiria watakua safe. Ila kwa hapo ni hatari sana. Kama kungekua na abiria na vioo ndio vingekua visu na kukata abiria wanaosubiri humo ndani.
Hawa jamaa hawana akili kwa kweli they should come in Tz to study how to make projects zenye akili, sasa hawakujua kwamba stations za BRT zinapaswa ziwe na tuta kubwa kuzuia wanywa chang'aa kama huyo dereva wa hilo lorry? Kweli Watz tuna akili kubwa mno alafu hapo tumetumia only 1% of our brains but tunafanya mambo yatakayo last longer up to 100 yrs forward.
 
BRT Phase II


How i wish hii underpass ingepanuliwa!! huyu mkandarasi sijui walimtoa wapi??
View attachment 2245464

Simon what's ur take!
Mara nyingi nmekuwa na mawazo kama haya, hapa kama co kupanua basi wangechimba ili BRT buses zipite chini zikatokee mbele kule alafu basi za kawaida zipite juu ili hapo pabaki na wembamba huo huo ningekuwa na uwezo ningelichora huo mchoro alafu niuweke humu nipate kueleweka vizuri.
 
chongchung wacha nikusaidie, Buruburu hiyo hapoπŸ‘‡πŸ‘‡,.., naona unakwepa kutumia google earth ama umetazama ukaona ukweli unajitia hamnazo, ndani ya Tanzania hauna sehemu yoyote na pia in dar ya kujibu hii, unaumwa na ukweli weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ around shopping centres ndio utapata flats na appartments some ni shops, banks, colleges na supermarkets..,


 
Kakisumu ni kadogo mno lakini kameshadhoofika na utitiri wa slums kama ndugu zake Nairobi na Mombasa 🀣🀣🀣View attachment 2245814View attachment 2245815
Mbona unaweka picha kwa umbali hivyo? unajaribu kupotosha, google earth inaonyesha sehemu kubwa panapendeza kuliko Dar na Mwanza on avaerage, inakuuma najua, zoea sisi sio wenzenu ba mzee πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
heb check jinsi mombasani ilivyo tulia. ata dar yenyewe hapana nusia

Hawapendi ukweli, Tanzania iko na city moja tu., Dar yenye tena ni slum kimuonekano., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
chongchung tazama buruburu polepole, usiwe na haraka.., utanyooka tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Opposite Buru n surrounding estates, na around shopping centers in different phases ndio utapata flats.,
 
Ukiondoa maeneo machache mno wanamoishi waarabu wenye viwanda Mombasa, Mombasa yote ni uozo wa kinyesi kushoto kulia, CBD yenyewe yote ni slums [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

View attachment 2245637View attachment 2245638
Wakunya wa humu wakiweka picha za Mombasa huwa wanaweka picha moja tu ya CBD tena CBD yenyewe imechoka kweli kweli ina majengo ya zamani sn enzi za sultan seyyid sayyid wa Oman. I bet hii Mombasa huenda ni slum county inayoshinda kibera na Mathare [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kibera has a population of over 2mil slum dwellers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…