Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ata SA na hizo slums still blacks kule South Africa on average wako way better than Tanzanians or any East African country by far.., so imagine eti sisi tuchukue picha za slums za SA we post tukijaribu kuwaonyesha vile tuko juu yao, yani ni ujinga tupu, ndio akili ya chongchung, analazimisha Kenya ionekane iko below TZ ila google earth inaonyesha muonekano wa ufukara umetapakaa kwa ukubwa upande waoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.., pia wageni wanaona wazi wazi na kukiri, despite knowing that kenya has KiberaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kishindo kingine Cha awamu ya Sita,ni wiki ijayo..

Zaidi ya Til.1 kumwagwa kwenye sekta ya Maji,miji 28 Nchi nzima πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220531-133930.png
    181.8 KB · Views: 36
  • Screenshot_20220531-134015.png
    171.9 KB · Views: 32
  • Screenshot_20220531-134051.png
    86.1 KB · Views: 34
Wacha waendeleee kununa,Mama SSH anazidi kuupiga mwingi πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220531-134115.png
    137.1 KB · Views: 30
This system is running at a loss.
Kwani bei ya basi moja sh ngapi kama kwa siku wanaingiza hela ya kutosha kununua basi moja, kwa mwaka ni mabasi kama 300 sasa katika akili ya kawaida tu hapo hasara inatoka wapi ...ngoja nicheki bei ya basi moja sh ngapi
 
Ukiondoa maeneo machache mno wanamoishi waarabu wenye viwanda Mombasa, Mombasa yote ni uozo wa kinyesi kushoto kulia, CBD yenyewe yote ni slums 🀣🀣🀣

View attachment 2245637View attachment 2245638
a disillusioned resident ata andika kile anacho fikiria, especially exaggeration lazima, he is emotive thus subjective, ni same tu vile b aadhi ya wakenya wanasema "Uhuru has done nothing amalize aende"., so inamaanisha hajafanya chochote?.., google earth iko available mbona uandike kwa mate na wino ni free?., weka wide views tuone ukubwa wa hizo slums tulinganishe na utopolo ulioko Dar.., leo niko available sana.., haukwepi.., link hiyo hapoπŸ‘‡
 
ata tuna waste tyme hapa na wabongo, jili Dar karibu yote; 70% ni slums... so hawana cha kuonesha. waonyeshe nini na ilhali....


(source ni Reuter na UN-HABITAT REPORT 2019)

 
Kwa akili yako inatofauti gani na hii?

 
Dar kabisaaa, tazama hizo nyumbaπŸ‘‡πŸ‘‡linganisha na za Nairobi, wacha kukimbia na vipicha vingine.., google earth umeiogopa, hauwezi sambaza propaganda zako vizuri πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
ata tuna waste tyme hapa na wabongo, jili Dar karibu yote; 70% ni slums... so hawana cha kuonesha. waonyeshe nini na ilhali....


(source ni Reuter na UN-HABITAT REPORT 2019)

View attachment 2245785View attachment 2245786
Hilo wanajua, liko wazi sana.., these guys wanapenda kujitia hamnazo, ukweli inawakera na wivu mob towards KenyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hilo wanajua, liko wazi sana.., these guys wanapenda kujitia hamnazo, ukweli inawakera na wivu mob towards KenyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tanzania haina ikulu yenye slums brathee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Slum la Kisumu
Hamna paliposalimika aisee

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…