Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unalinganishaje unplanned settlement na hizo planned shule zenu hapo chini.?
Si mwenzako alisema 90% of Nairobi ni mbovu? Sasa mbona unakasirika nikipost picha mbovu za Nairobi? Na hapo ni Eastlands tu, Donholm na Umoja! 😂 Dar is unplanned kushoto kulia kijana. Linganisha hizi tena kisha rudi na povu 😂

Dar

Nairobi (Eastlands)
 
Sa mbona unaweka shule kulinganisha na makazi ya watu.?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kenya maralal,lodwar,lokichokogio,tana river,nyeri,muranga,maua,garissa kakakuma dadaab etc mfano did you know kuna sehemu ukielekea kakuma kama hamna dumu la maji hampiti mnatumia kama entrance fees!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]entrance fee hii noma sana.
 
Itabidi mabasi yahudumiwe kwa timetable!
Ni kweli badala ya kuondoa kwa wakatokea Mmoja. Hivi kwanini ya Kanda ya Ziwa na Kigoma yasiwe yanaanza mchana ili muda wa kufika kuanzia Kahama iwe ni asubuhi na badala ya kulala njiani yaende moja kwa moja?

Sababu ya kuyazuia ni usalama usiku wanaweza kutekwa maana yanapita sehemu zenye pori, so mchana huwa hayatekwi na kuna usalama zaidi.

Hili walifanyie kazi siyo lazima kuwalaza watu njiani kama uchovu madereva wako wawili. Mmoja anapumzika na mwingine anaendesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…