Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

In Kenya cholera outbreaks occurs in Nairobi almost every after one year.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Umesema vyema sasa nairobi inaoccur ALMOST meaning si kila siku au mwaka ni miaka michache lakini dar na mikoa mingine ni kila mwaka unatokea mkurupuko wa shonde..

imagine adi maslums zinaflood[emoji23][emoji116]
[emoji23][emoji23][emoji23]

Waaah...nimecheka kweli
 
Mtu ataekuja kuwa Rais na kuja kuinvest massively kwenye viwanja vya michezo mim naona ni Majaliwa tu 😅
sijui kwann lkn naona yey (endapo akiwa Rais) atafanya vizur sana kwenye miundombinu ya michezo
 
Mnakata na naona tandale slum,kariakoo..
na nashangaa wanaupinga nyumbani kwao na inaonekana wazi,hili ni kwamba sehemu chache ya dar ni urban na kubwa ni slums
 
Na hili mnasemaje wadau...Kigoma na maeneo mengineo si kuzuri .
Hunger crisis in new york of africa[emoji23][emoji116]
Mnasema mnaweza kujitosheleza na chakula cha ndani ila nashanga hawa chakula haiwafikii
 
'hidden hunger' mnaficha adi njaa ili msigunduliwe mko vibaya[emoji23],ukatili kweli si mseme msaidiwe,malnultrition,drought,famine
 
Just because nyie mna ma slums Kenya nzima mnafosi na cc tuwe nayo? Umenoa mzee, pambaneni muyaondoe ma slums la sivyo hata iweje nchi yenu itabaki kuwa the failed state ever in the world. Msifosi tufanane, just stick to your lane please [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mtu ataekuja kuwa Rais na kuja kuinvest massively kwenye viwanja vya michezo mim naona ni Majaliwa tu [emoji28]
sijui kwann lkn naona yey (endapo akiwa Rais) atafanya vizur sana kwenye miundombinu ya michezo
Akipita huyu mzee naamini lazima akupe shavu mana unampigania sn, all in all he deserves to be our upcoming PURT, baada ya Majaliwa aje Bashe cjali asili yake, tupa kule cz ana uwezo na anamkaribia JPM kdg, nasema kdg mana kwa hapa Africa hakujawahi kutokea Rais mwenye uwezo mkubwa kushinda JPM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…