Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heheheheeee route ya Nairobi hasa TC 202 inajaza mpk raha, now mpk TC 200 iko vzr yn Wakenya wenyewe kabisa hawapandi KQ wanapanda TC[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi sijui ila nimefurahia madereva wa Tanzania kuzuia malori ya Kenya kuingia Tanzania pia!
 
Soma vizuri nilichoandika! Kipindi hicho hamna nchi East Africa ilikuwa na radar ya ku-cover the whole airspace sasa sijui una maana gani ati Kenya ilikuwa ina control EA airspace!
 
Malaya ni yule anayekataa kwao kukiwa kichafu kisha kuikubali mahali kwingine kusafi..fix your slums niggaz..huo ni utopolo wa kihayawani sana[emoji23][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…