Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa unabisha nini?,;Kenya ndiyo nchi ya kwanza Afrika kujitambua serikali ya Did Amin baada ya kumpindua Obote, Kenya ndiyo nchi ya Kwanza kumkaribisha Did Amin na kumpa heshima zote Kama rais wa nchi.

Kenya ilikataa kuwakaribisha wapinzani wote wa Did Amin ambao walikimbia Uganda wakiwa na lengo la kumpindua serikali ya Amin, Kenya mliwatelekeza na kuwaambia watafute nchi ingine kwa kuogopa Did Amin angeishambulia Kenya, Sasa Kama mlikataa kuwasaidia waganda waliokua wanauliwa na Idd Amin, vipi mnajisifia kuwasaidia Israel kuwakomboa mateka wao?, Kwahiyo Kenya mpo tayari kuwasaidia watu weupe lakini suo5 waafrika wenzenu Kama mlivyofanya enzi za ukombozi wa Afrika.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hao ni wanafunzi wanaendelea ku develop sio sawa na hilo kopo limetengenezwa na poor graduate wa Kunyaland
Unajiskia kweli io ya solar car imeundwa nauniversity graduates waliohitimu toka chuoni yao...Sasa utaanza kulinganisha muundo huo wa upumbavu na hii hapa[emoji116]..Ama umesahau wamesema kenyan student..
 
Hebu niletee evidence kwamba waliomba kutua Dar, alafu Nairobi bombing kwani walitumia ndege?ilibombiwa na Ugandans ama what's your point exactly
Tatizo lenu ninyi hamjui lolote zaidi ya kutunga stories za kutaka kujikweza, nchi gani duniani ambayo ina- control airspace ya nchi ingine?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni mgeni hapa, nenda taratibu usiturudishe nyuma

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mzee, there is a difference between monitoring an airspace of not only one country by radar and requesting clearance for landing... Hio "kuomba kutua" unaongelea landing clearance where the ATC of the specific airport is responsible, just like take off clearance and taxing clearance... Hata JNIA hawezi kupeana landing clearance ya Kilimanjaro airport.

Kwa the second story sioni mahali Norfolk ilibomiwa na ndege...mbona unaenda off topic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…