The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
π¬π¬π¬π¬π¬π¬π¬π¬π¬π¬Huna ppointi dogo yani mtu ajenge hospitali ashindwe kuweka vifaa nikama vile unasema sisi tunajenga reli ya sgr alafu tushindwe kununua treni
Zile habari zinawakera walinda legacy uchwara πππππHili taahira hovyo kweli, eti anasema JPM kaanzisha bila kumaliza πππ anataka amalize akiwa kaburini? π π π
Hayo mapato angeyapataje bila iyo bandari kupanuliwa π€π¬π¬π¬π¬π¬π¬π¬π¬π¬π¬
Zile habari Sukuma gang mkiziona mnatumia Sana,huku ndiko SSH anapata mapato sasa.
Coal shipment to Europe imeanza π
Hauna akiliForum ya hawara yako mpaka unapanga wa kuwemo?
Jamaa anachekesha sana, kila anachoweka humu ni matokeo ya JPM, hapo anashangilia meli ya makaa ya mawe Mtwara, anajisahaulisha nani kapanua hyo bandari mpk meli kubwa zinaweza kutia nanga hapo. Wenye akili tulishamuacha aongee pumba zake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hili taahira hovyo kweli, eti anasema JPM kaanzisha bila kumaliza [emoji23][emoji23][emoji23] anataka amalize akiwa kaburini? [emoji28][emoji28][emoji28]
Excuses as usual π€£π€£..Hayo mapato angeyapataje bila iyo bandari kupanuliwa π€
Hakuna mradi hata mmoja wa maana aliopost alafu usihusiane na Magu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo ni taahira mkuu, anajidanganya JPM anaweza kifutika kirahisi [emoji23][emoji23] cha ajabu kila picture ya mradi anayo post ni JPM legacy
Huwa naacha kusema hivyo mana watahisi ni wivu, ila expressway looks ugly, bora ile ya Entebe inapendeza.
Even me, kitambo sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi kusema kweli huyo jamaa nilisha mpiga block kitambo sana... [emoji4].
Wala hanipi shida. Message zake naziona mkizi tag tu.
Yah gati imekamilika karbia mwaka sasa , bila iyo gati mpya iyo meli ikitiaje nanga hapoExcuses as usual π€£π€£..
Kwani upanuzi imemalizika? Si unaendelea?
Mwamba wa chato akiendesha mwendo kasi πRais Uhuru Kenyatta kajiendesha mwenyewe leo kwenye airshow. Hivi kuna rais mgani mwingine wa Afrika ambaye ana mazoea ya kujiendesha? Napenda jinsi Uhuru yupo free sana.
Mpotezee uyoβ¦ π najiulizaga kwanini man bonga na huyo boya. Like rylyMwanangu The Sunk Cost Fallacy, post zako ziko nje ya mada ya huu Uzi, jirekebishe
Battle ni dar vs Nairobi turudi kwenye jambo lilitotuweka hapa...niliwahi kusema hizi habar ila jamaa amekaza sana haelewi,mahaba yamemzidiMwanangu The Sunk Cost Fallacy, post zako ziko nje ya mada ya huu Uzi, jirekebishe
Oyaaa ππππ humkeri mtu boya wwSukuma gang ongezeni block..
Naendelea kuwakera na Kazi nzuri ya SSHπ