Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vyeti ni makaratasi tu kama cheti cha ndoa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Heheheheeee mpaka sasa tayari Watz wawili hapa wamesoma mbele, wao wanatamba na videgree vya Maseno, samahani bwana Tony ngoja na mm nikupige kdg [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hongereni wafanyakazi, chonde chonde mkiwa mnatupita na STK,STJ,msitumwagie maji machafu barabarani kwa kuvimba kwenu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tafadhali sana
 
Tony254 , unajua Magna cum laude ni nn?
 
NDINDA co mzee wacha woga ni kijana kama wewe na huenda umemzidi umri au mko sawa au kakupita kdg, wengine wamezaliwa familia za kipato cha juu kufanikiwa kama kuvunja bua la mhindi vilee kama kina Simon na wengine pia hustling na mipango ya Mungu pia, so mtu kuendelea co lazima awe mtu mzima au mzee.
 
Soja unajua unaongea hapa na bado hujatuonyesha yako.
 
Pamoja mkuu.
 

Attachments

  • Screenshot_20210701-113440_Chrome.jpg
    40 KB · Views: 28
  • Screenshot_20210701-113502_Chrome.jpg
    53.9 KB · Views: 27
  • Screenshot_20210701-113555_Chrome.jpg
    52 KB · Views: 27
  • Screenshot_20210701-113606_Chrome.jpg
    51.9 KB · Views: 24
  • Screenshot_20210701-113653_Chrome.jpg
    47.9 KB · Views: 25
  • Screenshot_20210701-113616_Chrome.jpg
    55.3 KB · Views: 27
So unajua unaongea hapa na bado hujatuonyesha yako.
Mm sijasoma mbwa wewe mzee wa kuomba cheti, eti kasoma university of Nairobi, eti ana ajira alafu anavaa buti lina mashavu na infinix yenye 2gb Ram, nenda kadanganye chokoraa wenzio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nilisema mie [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…