Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkunya huyu naye asipopiga chang'aa anakuwa mtu poa sana, hapa ameikubali Dodoma. Ila bwana dyfre kuna watu unawaumiza humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kule Skyscrapercity huwa tunazama inbox na kupiga story nzito, Ni watu poa sana sema huku kwa surface kama sio wao [emoji1787]
 
Tatizo nyie pesa zinaingia mifukoni mwa wanasiasa.
Ingekuwa inaingia mfukoni mwa wanasiasa saa hii Tanzania ingekuwa imeshinda Kenya when it comes to the number of

1. Total paved roads
2. People connected to the electricity
3. Primary Schools, Secondary Schools and Universities
4. Hospitals
5. Enclosed markets.
6. Bigger ports.
7. Industries
 
Mkuu huwa huongei ongei ila mtu akiyakanyaga unamnyuka kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkunya huyu naye asipopiga chang'aa anakuwa mtu poa sana, hapa ameikubali Dodoma. Ila bwana dyfre kuna watu unawaumiza humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
watu nnawaumiza kivipi....? kina nani hao example.. 🤔
 
Heheheheeee hizi sindano za mbu wa marelia kabisa, zikikudunga lazima uende hospital [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi lichuo kama Maseno linawekaje details za watu online namna hiyo? Huko Kunyaland hamna information protection laws?
Bado mnampiga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu huwa huongei ongei ila mtu akiyakanyaga unamnyuka kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sema naye mda mwingine anapenda kujiingiza kwenye matatizo bure ya kuchezea moto asioweza kuuzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Niliona pia Kafrican ni mtu mwema huwa anatoa somo kwa sisi tusiojua mambo ya reli na Usafirishaji ila kuna siku pia huwa anamwaga radhi [emoji1787].
 
In a room of full professors, no one calls himself a prof.. unamvimbia nan sasa kama wote ni maprof, lbd kama kuna na maDr ndan kujiita prof kidogo utaleta heshima (kujivimbia).. im a degree holder too kutoka USA and masters kutoka UDSM (ya juzijuzi tu hapa) ... kama hutaki kuamin niseme tu nimeishia la saba 😅.. na sijakutisha sababu umesoma.. what i did is kujua details zako mana ulificha kwa cheti.. and through them nimejua majina yako na grade ulizopata (mana kuna waliopata 1st class honours, 2nd class honours upper division & lower division)..hata wew najua ulipata ngap.. thats all.. & through them ninaweza kujua humu ndan unasema ukwel au unadanganya.. mana nyie kwa kusema uongo hamjambo. Ila kuwa na aman ✌
 
Mambo yameanza kuwiva humu ndani, nilisema huko juu watu ni wajuvi wa mambo wanaweza kukutrack mpaka wakajua umesimama sehemu gani.
 
Inategemea na matumizi mliofanya,japo sidhani kama nimewahi engage sana katika issue kama izo.. if yes lazima kuna kitu nilikiona hakiko sawa nikatoa mtazamo wangu....
tuusan why are you trying to deny a song that you once danced for? Are you aware that Internet never forget?
 
You have the point,if we go to the standards you're somestapes ahead of us ...we r learning from the mistakes,We takes all initiatives to prosper....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…