Kenya na Tanzania tuko kwenye vita bits kiuchumi wala hakuna jingine. ...Sisemi hakuna shida sisemi waKenya huwa hawaongei Sheng. Lakini kama ulienda shuleni kenya pia lazima ukuwe uliandika insha kiasi. Yamaanisha twaweza ongea Kiswahili sanifu lakini wakati mwingi twachagua kuonyesha kimombo yetu. Nami naona ni too much. Sisi ni waafrika. Nadhani waKenya wengi huhusiana Kimombo wakiona ni maendeleo lakini kimombo ni lugha tu kama Kiswahili au Kichina au Zulu.
Kenye nasema ni rahisi nchi zetu mbili ndizo nchi za Kiswahili. Wanaongea Kiswahili pia huko DRC. Lakini tuna lugha moja hatufai kuwa na uhusiano mbaya.
Sitaki Afrika Mashariki iende ile njia ya Conservative Parties duniani. Utapata Conservatives kwenye nchi za kigeni sana sana huchukia nchi jirani kabisa lakini wana fantasise kuhusu nchi zilizo mbali ambazo hawazijui.
e.g.
- US na Mexico conservatives wa Marekani hawapendi Mexican immigrants
- Uingereza ndiyo hiyo ilitoka kwenye EU
- Conservatives wa nchi kama Korea Kusini huchukia waChina lakini husifu Marekani.
- Nayo pattern inaendelea chama zilizo za far right hata Ulaya kama Front National utapata hawapendi majirani lakini same same thing wana'fantasise' about Russia.
Naona ni muhimu Afrika Mashariki iwache hiyo tabia people will sing praises of other people but none about the countries neighbouring us.
Sweet view, CBD on the left and Upper Hill in the middle
Yeah men...pinnacle nyingi zinakuja nawaza kwa sautiStill a lot of spaces in Town to erect towers .
![]()

Tanzania na Kenya wanaunganishwa na mambo kama manne, 1)Ujirani 2)Lugha ya Kiswahili, 3)Makabila ya mipakani.Right.
Waswahili husema "kaa nao uwajue".
Hata hawa watz pia naona wako na qualities za hizo points ulizotaja hapo juu. Wao huabudu S.A kama kitu ingine hakuna..... at the sama time they loathe Kenya. So hakuna kipya hapo. Time will tell when they'll start pissing you off
Mbn design imebadilika 😀😀
sio kwa povu hilo ndugukuna mpuuzi mmoja mkenya amehoji issue ya kijinga ni kwanini tumeelekeza sana focus yetu SA kiasi kwamba hata wanamuziki wetu wa bongofleva wanaenda ku-shoot video zao huko.
ni bahati mbaya sana,lengo la thread hii si kujikita kueleza mahusiano ya kihistoria kati ya tz na nchi nyingine za afrika,vinginevyo tungejaza kurasa kulielezea hilo.
kwa kumuelimisha tu yule mpuuzi mkenya,ni kwamba tanzania ilitumika kuhifadhi wapigania uhuru wa nchi mbalimbali za kusini mwa afrika,ikiwemo south africa.
historia inasema,hata mzee nelson mandela,katika wakati fulani wa vuguvugu la kupigania uhuru wa SA na kuiondoa katika mikono ya makuburu,aliwahi kuishi tanzania eneo la Moshi mkoa wa kilimanjaro, akitumia passport ya tanzania kwa jina bandia la kitanzania.
![]()
![]()
kiufupi tu ni kwamba ukaribu au urafiki wa watz na wa-SA umejengwa katika misingi ya historia ya wazee wetu walioshiriki katika harakati za kupigania uhuru.
ukaribu huo au urafiki huo,umekuwa ukiendelea hivo toka kizazi mpaka kizazi ndio maana ni rahisi sana kwa mtz kwenda kufanya shughuli zake SA kuliko kwenda kufanya shughuli zake Kenya japo ni nchi jirani na tz kwa upande wa kasikazini-mashariki.
kisu cha ngariba hakiwezi kumuacha mkenya salama,kinapomuingia mahala pake lazima apige yowe ili kila mtu ajuwe kuwa sasa mkenya anashugulikiwa na mtanzaniasio kwa povu hilo ndugu
😀😀😀

Ngariba amekukata wewe na kisu chake. umekuja full mipovu na mihemko... duh! chunga usije ukapata blood pressure 😀kisu cha ngariba hakiwezi kumuacha mkenya salama,kinapomuingia mahala pake lazima apige yowe ili kila mtu ajuwe kuwa sasa mkenya anashugulikiwa na mtanzania
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kisu cha ngariba hakiwezi kumuacha mkenya salama,kinapomuingia mahala pake lazima apige yowe ili kila mtu ajuwe kuwa sasa mkenya anashugulikiwa na mtanzaniaNgariba amekukata wewe na kisu chake. umekuja full mipovu na mihemko... duh! chunga usije ukapata blood pressure 😀

kuna mpuuzi mmoja mkenya amehoji issue ya kijinga ni kwanini tumeelekeza sana focus yetu SA kiasi kwamba hata wanamuziki wetu wa bongofleva wanaenda ku-shoot video zao huko.Ngariba amekukata wewe na kisu chake. umekuja full mipovu na mihemko... duh! chunga usije ukapata blood pressure 😀
sasa utashinda ukijirudia???kisu cha ngariba hakiwezi kumuacha mkenya salama,kinapomuingia mahala pake lazima apige yowe ili kila mtu ajuwe kuwa sasa mkenya anashugulikiwa na mtanzania
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kuna mpuuzi mmoja mkenya amehoji issue ya kijinga ni kwanini tumeelekeza sana focus yetu SA kiasi kwamba hata wanamuziki wetu wa bongofleva wanaenda ku-shoot video zao huko.sasa utashinda ukijirudia???
heri ata ungepost nyumba za dar is slum zenye zi upatikana remote areas in Kenya 😀
lamba Afrika Kusini matako Kabisa. mpaka mdomo ijae ma.vikuna mpuuzi mmoja mkenya amehoji issue ya kijinga ni kwanini tumeelekeza sana focus yetu SA kiasi kwamba hata wanamuziki wetu wa bongofleva wanaenda ku-shoot video zao huko.