chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
Mzee Tofautisha kati ya industrialized economy na agricultural economy, our economy is mostly propelled by agriculture, mining plus fishing and forestry, tourism in which the major ownership on the fraction of productivity and profits gains are heavily directed to the common Tanzanians through our total resources ownership, opposite to SA and KenyaHeeeheee
Umenifurahisha Sana maana hiyo ni Tanzania unayoisema. Top CEO jobs in Tanzania ni Wahindi, Waarabu, Wazungu na Wakenya tupu.🤣🤣🤣
Nioneshe kijana mdogo wa Kikunya singlehandedly akilipa kodi serikali kes million 70, 210,500 from any form of investment 😂😂😂😂Heeeheee
Umenifurahisha Sana maana hiyo ni Tanzania unayoisema. Top CEO jobs in Tanzania ni Wahindi, Waarabu, Wazungu na Wakenya tupu.🤣🤣🤣
Westen coastal cities sawa but inland city sijawahi ona except for NairobiFlooding? That's so shallow of you[emoji23] This happens even in Western cities. I can show you hundreds of photos but there's no point. Anyway, vipi kuhusu hizi dreamhouses ambazo hazipumui ndani ya maji Dar? View attachment 2240123View attachment 2240124View attachment 2240125View attachment 2240126View attachment 2240127View attachment 2240128View attachment 2240129
Kwahiyo kwasababu inatokea western cities, Hilo sio tatizo?, Punguzs ujinga.Picha zako zaidi ya nusu ni za Kibera as always.
And did you say same location different angles? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Take a look below. From Vingunguti to Mabibo to Keko Mwanga to Mbagala to Gongo la mboto to Tandale to Manzese to Tandika to Buguruni and many other places, Dar is a glorified fishing village with uswazi hovels everywhere you look View attachment 2240100View attachment 2240101View attachment 2240102View attachment 2240103View attachment 2240104View attachment 2240105View attachment 2240106View attachment 2240107View attachment 2240108View attachment 2240109View attachment 2240110View attachment 2240111View attachment 2240112View attachment 2240113
"Tanzania tops Africa in Economic inclusiveness"Heeeheee
Umenifurahisha Sana maana hiyo ni Tanzania unayoisema. Top CEO jobs in Tanzania ni Wahindi, Waarabu, Wazungu na Wakenya tupu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
@Tony254Mzee Tofautisha kati ya industrialized economy na agricultural economy, our economy is mostly propelled by agriculture, mining plus fishing and forestry, tourism in which the major ownership on the fraction of productivity and profits gains are heavily directed to the common Tanzanians through our total resources ownership, opposite to SA and Kenya
Kenya on the other hand your whole economy is agricultural propelled but the total ownership of the sector lies on the hands of Muzunguz, chai, maua, kahawa all these are Muzunguz properties and you can't do nothing because they own everything!
Kumbe huyu alikuwa anasema na wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],mimi nilijua ametuma bahati mbaya maana nimetafuta connection sikuipata. Kwani umemkosea nini mbona sioni mahali mmekwazana?Kabishane na wanawake wenzio.View attachment 2240051View attachment 2240052
Hivi katika hizo skyscraper mnazojisifiaga hapo nairobi slums na hili uwa mnarepresent?ntashukuru zaidi uki comment pia kuhusu hapa alexandra, afrika kusiniView attachment 2240071View attachment 2240069
Simjui kabisa mkuu, yeye ni mtu wa majukwaa ya udaku mm sipo huko nina majukwaa machache sn sasa nadhani kafananisha Id mbuzi uyo.Kumbe huyu alikuwa anasema na wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],mimi nilijua ametuma bahati mbaya maana nimetafuta connection sikuipata. Kwani umemkosea nini mbona sioni mahali mmekwazana?
Mzee Tofautisha kati ya industrialized economy na agricultural economy, our economy is mostly propelled by agriculture, mining plus fishing and forestry, tourism in which the major ownership on the fraction of productivity and profits gains are heavily directed to the common Tanzanians through our total resources ownership, opposite to SA and Kenya
Kenya on the other hand your whole economy is agricultural propelled but the total ownership of the sector lies on the hands of Muzunguz, chai, maua, kahawa all these are Muzunguz properties and you can't do nothing because they own everything!
Toa ujinga wako wa data za kupikwa hapa, Kunyaland nnapenda Sana kudanganywa nyie..Kenya ranks 7th in terms of internet usage
Morocco Tops the list at 1st place while Tz as per this list is second last overtaking only 1 country
Ebu soma story ya huyu Kijana mjanjez. 🤣🤣Nioneshe kijana mdogo wa Kikunya singlehandedly akilipa kodi serikali kes million 70, 210,500 from any form of investment 😂😂😂😂
Mtanzania huyu analipa kodi 1.4 billion from his mining sector each year and still regarded as small scale player, sio South Africa wala Kenya hili linawezekana ni Tanzania pekee the Africa's most inclusive economy
Tanzania raha Sana, Yaani Tunisia huwa inapokea namba kubwa Sana ya visitors kuliko Tanzania ila kwenye mapato tunawapiga..We lead!
Tunisia doesn't cook figures.Tanzania raha Sana, Yaani Tunisia huwa inapokea namba kubwa Sana ya visitors kuliko Tanzania ila kwenye mapato tunawapiga..
Tafsiri yake ni kwamba Tanzania tunafanya high end tourism kwa sababu vivutio vyetu ni exclusive and unique.
More evidences👇Fool, Tanzania has over 30 mln internet users!
Tanzania's Internet Users Reach 30million
14 MARCH 2022
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)
By Esther Takwa
The number of internet service users in Tanzania reached 30million in February 2022 from 28million last year, according to the latest figure released by the Information and Communication Minister in Dar es Salaam on Monday.
Nape Nnauye, the Minister told reporters in Dar es Salaam while highlighting the Ministry's performance during one year of President Samia Suluhu Hassan's administration.
Nnauye said the number of telecommunications service providers have also reached 23 compared to 19 in March 2021.
He said during the same period, the number of registered telephone lines increased from 51.2million to 55.4million while the number of cash accounts through mobile phones increased from 27.3million to 32.7million
Read the original article on Daily News.
Lakini hiyo kampuni kama iko Kwa ajili ya profit less service sawa ila kama wanataka faida ilitakiwa iongezwe zaidi ya hiyo kama walivyofanya kwenye daladala..
Kwenye daladala wameongeza sh 100 huku hawa wajuba wanataka kuongeza 500 nzima 😅😅 tutafika tumechokaa sanaa
Itakuwa kakufananisha mkaushie tu mkuu maana hii thread si ya maneno maneno ni FACTS AND EVIDENCE mwendo mmoja.Simjui kabisa mkuu, yeye ni mtu wa majukwaa ya udaku mm sipo huko nina majukwaa machache sn sasa nadhani kafananisha Id mbuzi uyo.
Watanzania hapa jf hutoa wapi kende kuongelea slums za Nairobi wakati maeneo yao mengi yanakaa hivi? Tunadeal na watu wa ajabu sana hapaPicha zako zaidi ya nusu ni za Kibera as always.
And did you say same location different angles? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Take a look below. From Vingunguti to Mabibo to Keko Mwanga to Mbagala to Gongo la mboto to Tandale to Manzese to Tandika to Buguruni and many other places, Dar is a glorified fishing village with uswazi hovels everywhere you look View attachment 2240100View attachment 2240101View attachment 2240102View attachment 2240103View attachment 2240104View attachment 2240105View attachment 2240106View attachment 2240107View attachment 2240108View attachment 2240109View attachment 2240110View attachment 2240111View attachment 2240112View attachment 2240113
Endeleeni kushangilia vya wenzenu wakati nyie mumetimuliwa kwenye mashindano 😆😆😆😆Nairobiiiii......jina kubwa
[emoji848][emoji848][emoji848]Hata mimi ninashangaa sana.Uyu vipi uyu?