Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakati huohuo teargas na cheti chake kizuri lakini kuna Wakati hu act kama class8 pupil...
Mtu Aliesomea molecular biology( Yani mtu yuko kiwango hicho lakini bado hamnazo)
 
Humu watu huwa tunajibu jinsi na mtu anavyokuja, Wakenya wengi hawana adabu kulingana na maisha yao yalivyo. Ukitaka kujifanya mstaarabu ukiwa una debate na mkenya popote pale juwa kwamba unapoteza muda wako bure.

Sisi wengine tuna michango yetu adhimu kwenye majukwaa mengine ukiacha humu japo humu pia huwa tunatoa michango yetu, nina I'd mbili humu pia nina michango yangu mujarabu, issue co cheti bali issue akili ya mtu.
 
Haha kumbe ninyi ni 80k ndio graduates per year?

Tanzania ni zaidi ya hao, angalia loan board inatoa higher education loans kwa New 70k students per year hapo bado more thousands who are not loan beneficiaries

View attachment 2239312
Watabadili gear mda c mrefu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Haha kumbe ninyi ni 80k ndio graduates per year?

Tanzania ni zaidi ya hao, angalia loan board inatoa higher education loans kwa New 70k students per year hapo bado more thousands who are not loan beneficiaries

View attachment 2239312
Mbona kama mnakinzana hivi...We unazungumzia walioko vyuoni wanaonufaika na mkopo yeye anazungumzia waliomaliza vyuo vikuu kenya...kwa kifupi tu hatuwafikii kabisa...tuko 48k hivi..Tuambiane ukweli
 
Hadi anaona aibu kusema yuko mtaa gani….[emoji28][emoji28]
 
Wakati huohuo teargas na cheti chake kizuri lakini kuna Wakati hu act kama class8 pupil...
Mtu Aliesomea molecular biology( Yani mtu yuko kiwango hicho lakini bado hamnazo)
Mm nawaambia na hata yeye mwenyewe teargas anajua kwamba anaongopa, ila kama anaongopa ili ajifurahishe sawa.
 
Kabisa mkuu...kuna huu ujinga wa daily dosage ya expressway [emoji1787][emoji1787][emoji1787] imagine graduate anasherehekea expressway everyday all days...Kenya ziko project ngap za maana lakini mmestuck na expressway...
Watz tunamiradi mingi sana kila siku tunapost humu hatujawahi pagawa na miradi
 
Mbona kama mnakinzana hivi...We unazungumzia walioko vyuoni wanaonufaika na mkopo yeye anazungumzia waliomaliza vyuo vikuu kenya...kwa kifupi tu hatuwafikii kabisa...tuko 48k hivi..Tuambiane ukweli
Unazungumzia wenye degree au chuo kama chuo.
 
Kusoma na kuelimika ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Sasa unamuhadithia nani story yako?

Kisa cha kusema Nairobi ni kuzuri kuliko Dar ni English tuu
Alisema mpaka messages za mitandaoni na kila kitu ni swahili na yeye kiswahili hajui, akasema hawezi hata kuongea na watu na kujimix na locals sababu ya lugha

Kingine alisema alienda kununua perfume kwenye duka 1 na kukuta muuza duka kasinzia, ndio akasema hilo ni tofauti kabisa na marekani ni nadra mfanyakazi kasinzia kazini

Hilo lako kwamba kasema wanaume wa Tanzania ni wazembe kuliko kunyaland ni uongo mtupu otherwise alisema customer service ya Tanzania ipo slow na watu hawana haraka ya maisha kama Nairobi.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Huyu mmarekani mpumbavu kweli alifikiri kunyaland yote ni kama Westlands πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kaenda ushenzini analalama na bado hajafika mathare wala kariadudu
 
Wakenya karibuni kwa Utalii baada ya Mtanzania kugundua mabaki ya yule mnyama maarufu kwa ukubwa Dunia aliyepotea miaka mingi iliyopita ..

Inasemekana denosaur alikuwa na uzito wa Tani zaidi ya 68.πŸ‘‡
Kwa ivo mnajilaumu wenjyewe, "This should be a National treasure but because it was discovered by a Tanzanian..." Ivi mnataka archeologist mzungu wa nje aka discover ndivo mkaienzi kama national treasure, sio?
 
Acha povu,itatunzwa maalumu kwa ajili ya high end tourism..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…