Tofauti ya that place and Mombasa old town ni jina tu.na ukichunguza vizuri, utakuta hizi ghorofa za Morocco sio mirefu. ata kupata moja ya ghorofa kumi itakua ni bahati.
hivi nimewadaka najua itakua ni uchungu😖😖
cc: Teargas
View attachment 2238656
Peleka kilio afdb [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]What did that dead goat do to deserve the tag? Uhuru has done thrice what he did yet hatujampea hiyo tag.
LAPSSET is costlier than all Tanzanian projects placed together.Peleka kilio afdb [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kila siku tunasema humu kwamba total price of projects u/c in Tanzania equals to total price of projects in Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC and Sudan combined times 2, nadhani mmeona sasa, poleni kwa maumivu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyinyi wachumi mnanichekesha sana kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23], hivi vitu mbona vinanichanganya? Ni pato gani anazungumzia hapa, la mtu mmoja mmoja au la nchi?[emoji4]Is Sychelles the richest country in Africa, not Nigeria any more?, Kweli kichwa yako huwa imejaa kamasi.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tuendelee kuwa Waungwana namna hii ili kila mmoja apewe heshima yake.Baba wa miundombinu Africa.
Bado ni ndogo sana.Mazungumzo ya Biashara Ikulu ya Ghana [emoji116]
Mambo yakiwa hivi atakubalika na wengi.Huyu maza mi namkubali sana, Anajua kabisa nani anastahili sio mnafiki
Kazi ya Rais ni ku deliver sio kutafutwa kupendwa...Mambo yakiwa hivi atakubalika na wengi.
Sio wewe unacheka Nairobi kila mara ukisema Nairobi ni pori 😅😅🤣🤣Nasubiri mtu aseme ka Nairobi kanaizidi Dar kwa miti.
Niliuliza hili swali, kwahiyo per capital ni kipato cha mtu mmoja mmoja au GDP ni utajiri wa nchi nzima?Malizia kwa per capital...sio kwa GDP
Soja is confused. Msipomuangalia vizuri atapoteza rungu yake and blame it on you.Sio wewe unacheka Nairobi kila mara ukisema Nairobi ni pori 😅😅🤣🤣
Hio ni simu ya mtanzania mwenzako humu.Wacha wee..ndo simu zenu kali mnazomiliki
Asipokubalika ataongozaje nchi? Wewe ukiwa kiongozi ukapita mahali na kuzomewa na kutukanwa utajisikiaje,wakati wa uchaguzi utaombaje kura??Kazi ya Rais ni ku deliver sio kutafutwa kukubalika..
Haaaa hiyo ni kuonja tu ila baada ya muda patakuwa emptyNa nilidhani walisema guys wount use the express way hehe! Kumbe hata haitoshi wajenge ingine tutalipia tu. Magari Ni mengi View attachment 2237738
Hahahaha, if we have surveillance military planes, how is it possible we don't have the drone which is far cheaper than a plane?Tanzania doesn't have both combat and surveillance drones. Kenya has surveillance drones.
Below is a Kenyan made drone being deployed in Somalia by KDF.
View attachment 2238670
Saizi anaongozaje? Kuna tofauti ya kupendwa na kukubalika..Asipokubalika ataongozaje nchi? Wewe ukiwa kiongozi ukapita mahali na kuzomewa na kutukanwa utajisikiaje,wakati wa uchaguzi utaombaje kura??