Tatizo mnakula kuku halafu nguvu zote mnazipeleka kwa choo. Bado tunawapiga kwenye michezo na mambo mengi tu.Kunyaland kuku ni anasa aisee
Ndio maana tulivyochoma vifaranga kidogo KDF ituvamie 🤣🤣🤣🤣
View attachment 2235792
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Hapo ndio huwa nashangaa, nimempa ushahidi kutoka mpaka UN kwamba Tanzania ipo mbele yao kielimu, anasema haiziamini hizi statistics 😅😅😅Yani ukitaka kujua hawa jamaa ni vilaza na hawana elimu eti Tony ndio the most educated person kwa Wakenya wote walio humu kwenye hii thread [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakenya wengi humu wamesoma sana hata kunishinda, sema tu bado hawajaweka wazi vyeti vyao. Kumbuka hakuna Mtanzania isipokuwa wewe aliyewahi kuweka vyeti vyake humu. Kwa hivyo pia nyinyi hamjasoma? Au unamaanisha nini? Sio kila mtu anayetaka kuweka vyeti vyake wazi.Yani ukitaka kujua hawa jamaa ni vilaza na hawana elimu eti Tony ndio the most educated person kwa Wakenya wote walio humu kwenye hii thread [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I never understood the reason behind the fired chicks feelings until I saw this 😅😅😅Tatizo mnakula kuku halafu nguvu zote mnazipeleka kwa choo. Bado tunawapiga kwenye michezo na mambo mengi tu.
Huyo jamaa huwa ana English mbovu sn, ofcz Wakenya wengi wana hawajui kingereza wala kiswahili.Why never used a language you are comfortable with, such as your native tongue?
English is way beyond you.
kama tanzania mwaka jana ilikua kwa asilmia 4%, then;tuusan.... heb ona.... gdp ya kenya ni $114b because if gdp grew by 7.5% last year, then:
If;
$106.2b × 107.5/100% = X
:. X= $114b.!!
Safari njema mkuu.Giant Tanzania 👇leo wakati navuka kuelekea Sengerema districtView attachment 2238073View attachment 2238074View attachment 2238075View attachment 2238076
Yani ukitaka kujua hawa jamaa ni vilaza na hawana elimu eti Tony ndio the most educated person kwa Wakenya wote walio humu kwenye hii thread
Kwa hiyo kuna kipindi ulisema the only one kumbe ndio yule Jamaa wa MASENO ? 🤣 Duh, noma sana.Yani ukitaka kujua hawa jamaa ni vilaza na hawana elimu eti Tony ndio the most educated person kwa Wakenya wote walio humu kwenye hii thread [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka sana [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hohohoho military yenu inatumia drone za vloggers. 🤣🤣🤣Ya kwenu hii hapa, Africa bhn [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2238161
Hii haitakaa ipoe, na hivi ukiangalia na zile % ndogo walizonazo.🤣, Sukuma week kila siku si mchezo mkuu.I never understood the reason behind the fired chicks feelings until I saw this 😅😅😅
Doh poleni, huku kuku wala sio chakula cha kumbabaisha nacho mtu!
View attachment 2238185
Kenya sio ñchi maskini kama Tanzania.Hebu tuoneshe drone za Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo kuna kipindi ulisema the only one kumbe ndio yule Jamaa wa MASENO ? [emoji1787] Duh, noma sana.
View attachment 2238194
🤣🤣🤣🤣 Manati pia huwa wanabeba😂😂Hili ni jeshi la kula au jeshi la kupigana? Wanabeba sufuria kwenye parade ili iweje? JWTZ (Jeshi la Walaji Tangia Zamani)
View attachment 2238198
Silaha ya kivita hiyo 😂😂😂Nimecheka sana [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2238196
[emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizi ni za Tanzania?🤣🤣😂
Leta za kwenu tucheke 😂😂Hizi ni za Tanzania?🤣🤣😂
[emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]