Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila wakati mwingine unawashangaa watu wa vyama vya siasa kupotosha kitu ambacho ni dhahiri ni kweli ili kutafuta cheap popularity,na huwa wanafanikiwa sana maana watu wanaangalia nani kasema ila siyo aliyesema amesema ukweli kwa kiasi gani.
 
Mkunya akifika kwenye hizo bus stations zetu atafikiria yuko Airport

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Umewapiga kipigo cha mbwa koko, akitokea mkunya yeyote akaijibu hii post naondoka jamiiforums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hizi bus terminals za Tanzania kule Kenya ni airports.
 
Unakumbuka hawa jamaa walisema hatunauwezo wa kununua dreamliner ?walisema atcl hatutawah fikia Fleet size ya kq...nashangaa tumeshasogea from 1 to 11 na bado wanataka ongeza 5...so tangu tumeanza agiza ndege hawajawahi kuongeza hata 1 wameganda
Mpaka sasa ATCL ina ndege mpya na za kisasa 11 plus 5 zinazokuja, KQ ina ndege 3 chakavu, no wonder wakunya wame substitute kq for ATCL wanapofanya safari za Dar-Nairobi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umewapiga kipigo cha mbwa koko, akitokea mkunya yeyote akaijibu hii post naondoka jamiiforums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utaondoka kweli mkuu maana Teagas huwa anaandika kwanza halafu ndio anafikiria baadae [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…