Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mm nitatofaitiana na nyinyi kidogo, huwezi kuwafundisha watu kuwa wazalendo ata kidogo, namna pekee ya kuondokana na hii hali ni sheria kali tuu bila kumfumbia mtu macho kwa namna iyo ndo tutawwza kuleta uwajibikaji na uzalendo serikalini, mfano ulio haI na wawazi kabisa ni uwepo wa dini na serikali katika kila nchi hapa duniani imesaidia kuregulate mienendo na hulka za watu la sivyo kungekua hamna mpangilio

Sasa tukija kwenye serikali yetu ufisadi mwingi lakini ata siku moja hatujawahi kuskia kiongozi flani au mkurugenzi flani kafungwa au ata kufikishwa mahakamani, Magufuli kidogo ndo halijitahidi sasa hii hali ya viongozi wetu wakuu kutowajibika na kuchukua hatua za ziada ndio inatukosti
 
Tanzania rptuba yote sio mali yenu ni mali ya beberu
Hivo ndo wanaji console 😅
dyfre umesikia chenye Gachagua amesema leo kuhusu Safaricom?
During this time of campaigns people try as much as possible to divert/twist the message but you should know better. Gachagua can't be that dumb, propaganda is the norm of the day...i watched a clip the other day where a politician spoke in mother tongue and then it trended...the translation was laughable especially if you speak the language
 
You may be right. This may just be propaganda and fake news but it is very serious propaganda. That Safaricom communication looked legit and was professionally done but it was fake. I mean Kenyan cyber space is now full of fake things.
 
ni hali tu ya siasa, unatumia mbinu yoyote ili mradi uweke tu kichwa statehouse... pia raila anasema eti vijana woote ambao hawana kazi watalipwa elfsita 6,000/- for free .. 😆😆
Hahaha. Lakini kuna watu wakora sana huko twitter. Nimeingia twitter na first thing nimeona ni Gachagua trending. Watu wanasema amesema chenye hajasema. Then kuna statement ya Safaricom inakaa legit kumbe ni fake. Watu wacompete tu vizuri hakuna haja ya kucheza chafu.
 
Only when it favor your ego...right?what a dunda head
You can't deny facts.

Now comes the Chengdu J7G which is a direct copy of the soviet's mig 21

Mig 21


Chengdu j7
 

Attachments

  • Screenshot_20220524-163653.png
    27.3 KB · Views: 24
  • Screenshot_20220524-163337.png
    105.5 KB · Views: 78
You may be right. This may just be propaganda and fake news but it is very serious propaganda. That Safaricom communication looked legit and was professionally done but it was fake. I mean Kenyan cyber space is now full of fake things.
Wewe unaweza ku tell difference between fake and legitimate, kuna yule jamaa akiona tu kitu ikiongelewa asha amini na hao ndio majority, those are the targets of propaganda..ingekuwa kitu real saii ingekuwa breaking news pale citizen raila media services 😅😅
 
True. A lot of people have already believed it and that was the intended effect.
 
what.! as in that Letter is not legit.! ..!! 😆

enway i ll still applaud 👏🏽 kenyans for their brilliance. kenyans are very innovative or creative when it comes to matters cyber
 
what.! as in that Letter is not legit.! ..!! 😆

enway i ll still applaud 👏🏽 kenyans for their brilliance. kenyans are very innovative or creative when it comes to matters cyber
The kenyan social media has a huge abd direct impact because everyone can access information in real-time...i couldn't say the same about some countries where twitter imejaa cobwebs
 
what.! as in that Letter is not legit.! ..!! 😆

enway i ll still applaud 👏🏽 kenyans for their brilliance. kenyans are very innovative or creative when it comes to matters cyber
Kitu imenishtua ni ati hizo statistics ni za ukweli. Mimi nilishaamini ni ya ukweli coz hizi statistics najua ni za ukweli. Huyu ni mtu alifanya research ndio aandike hii letter. Mahali alikosea ni ati hakuna signature. Hapo tu ndio alikosea.
 
KDF is hosting a free Airshow this Saturday at Uhuru Gardens. Event kama hii huwezi pata bongo ju hawana extra airport, enyewe maskini hana raha. 🤣 🤣 🤣

 
Alafu ni reli ya aina gani hapo? Haya majinga haya yn yanaacha kuishinikiza serikali yao iwajengee reli ambayo ni ya kisasa yanashangilia kujengewa ma station ambayo hayana mpango wowote.

Sawa na kupiga rangi nyumba iliyochoka badala ya kubomoa na kujenga nyumba ya kisasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…