The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Ongeza nyama mkuu,hapa ndio wanajenga mgodi au Wana extract madini?
Ongeza nyama mkuu,hapa ndio wanajenga mgodi au Wana extract madini?
Mama sa100 acha ujinga tunataka mafuta ya bei cheee kutoka urusi kisha hayo mambo ya watalii ndiyo yafuatie , mafuta mafuta mafutaAsante Sana mh.Balozi, Diplomasia ya Uchumi na juhudi za kutangaza Utalii wa Tanzania zinaendelea [emoji116]
View attachment 2234040
Hiyo ni Camp ya barabara gani?For public use,ni kama ilivyokuwa Zamani baadhi ya shule zilirithi majengo kama hayo japo naona kwa sasa ni majengo modern kabisa na ikiwa shule mnatafuta madawati.
Hii ni wapi? Huwa zinakuwa shule,Ofisi,vyuo nk..
Dini gani imetumika hapo ....mimi nashangaa kwenye uislamu hakuna kabisa mambo ya kiumbe kusujudia kiumbe hivyo nilivyo sema waislamu nina maana kubwa kwa sababu ukweli umethibitika kuwa viongozi wetu wa ngazi za juu wanao jidai waislamu wanasujudi mabeberu sana huo ni ukweli ambao hata waislamu wameujua ,wazalendo wote wa hii nchi siyo waislamu huo ndiyo ukweli kuna tofauti baina ya uislamu na waislamu ...uislamu hauna tatizo.Bro mimi sio muislamu ..na najua unahaki ya kutoa maoni yako..lakini i think Dini isihusike ..Personality ya mtu haihusiani na Dini
Pia jua kuwa dini ni uislamu hivyo dini haina tatizo ...Bro mimi sio muislamu ..na najua unahaki ya kutoa maoni yako..lakini i think Dini isihusike ..Personality ya mtu haihusiani na Dini
wacha ubaguzi mwana Sukumagang!Pia jua kuwa dini ni uislamu hivyo dini haina tatizo ...
Kunatofauti kati ya UISLAMU NA MUISLAMU tatizo lipo kwa muislamu siyo uislamu
Mkuu wacha haya mambo ya dini yatatugawa, mm ni mkristo lkn much appreciation to Muslims naikubali sn hii dini, iko perfect na wala haina tatizo na mtu isipokuwa ni kweli viongozi l(ma Rais) wa kiislamu kuna sehemu huwa wanatuangusha, cjajua ni kwnn ila tuachane na habari za udini hauna faida yoyote. Udini, ukabila tuwaachie wakunya.Dini gani imetumika hapo ....mimi nashangaa kwenye uislamu hakuna kabisa mambo ya kiumbe kusujudia kiumbe hivyo nilivyo sema waislamu nina maana kubwa kwa sababu ukweli umethibitika kuwa viongozi wetu wa ngazi za juu wanao jidai waislamu wanasujudi mabeberu sana huo ni ukweli ambao hata waislamu wameujua ,wazalendo wote wa hii nchi siyo waislamu huo ndiyo ukweli kuna tofauti baina ya uislamu na waislamu ...uislamu hauna tatizo.
Wanajenga mgodiOngeza nyama mkuu,hapa ndio wanajenga mgodi au Wana extract madini?
Iyo moja ya kambi ya sgr lot 5 "malampaka"Hii ni wapi? Huwa zinakuwa shule,Ofisi,vyuo nk..
Mfano Camp za Barabara ya Tunduma-Sumbawanga zimeheuzwa matawi ya DIT na MUST..
Pia Kuna Camp ya Barabara ya Sumbawanga-Mpanda imegeuzwa ofisi za Tanroads mkoa wa Rukwa ,Camo ya Barabara ya Mpemba/Tunduma-Isongole imegeuzwa VETA Wilaya ya Ileje.nk
Watu wa Nairobi mnasubiri nini mpaka saivi hampo barabarani kudai stendi yenye decency? Yaani mpaka Singida the least developed and semiarid region inawapita kwa kuwa na stand bora!
Watu wa Nairobi mnasubiri nini mpaka saivi hampo barabarani kudai stendi yenye decency? Yaani mpaka Singida the least developed and semiarid region inawapita kwa kuwa na stand bora!
Tukisema hii kitu inatibu mm baba ni muislamu mama ni mkristo mm mwenyewe sipo kwenye dini yoyote ila ukweli usemwe utatuweka huru ...uislamu hauna tatizo lolote, kwenye ili la kusujudia mabeberu maana unapinga huo upuuzi tatizo lipo kwa wanao jidai uislamu kumbe wengi wao ni waisiharamu wapo kuuchafua uislamu na haya yameandikwa kwenye vitabu vya dini ...watu waovu wanao jivisha koti la uislamu huku kwa ndani ni wanafiki ,wauza ngada , wabinafsi na kila sifa mbovu , hata katika ukristo tunaona kila mtu mwenye wafuasi anajiita mtume na nabii ....ukiwauliza kuhusu utume wao wanasema mtume ni kutumwa na mungu sasa swali je mungu alipo watuma nzige misri kualibu mazao hao nzige walikuwa ni mitumeMkuu wacha haya mambo ya dini yatatugawa, mm ni mkristo lkn much appreciation to Muslims naikubali sn hii dini, iko perfect na wala haina tatizo na mtu isipokuwa ni kweli viongozi l(ma Rais) wa kiislamu kuna sehemu huwa wanatuangusha, cjajua ni kwnn ila tuachane na habari za udini hauna faida yoyote. Udini, ukabila tuwaachie wakunya.