Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So one must be registered before using the NEW?
 
wizara ya elimu inashughulika na mpaka elimu ya juu na sayansi! Hakuna wizara ya sayansi na elimu ya juu pekee!




NOTE
Wizara ya Nishati na Madini imegawanywa sasa kuna wizara ya madini inayosimama yenyewe! Pia Mawasiliano ipo ndani ya wizara ya Habari!

 
Wakora mumechanganyikiwa na njaa [emoji116]

View attachment 2232690

View attachment 2232691
Kipindi hiki cha uncertainties kwenye global markets halafu ukumbane na uhaba wa chakula ni mtihani juu ya mtihani. Poleni sana majirani tutapita hiki kipindi tuu msijali ila next government should prioritise investments in agriculture na muache ku disorient priorities za taifa kwa kujenga ghost cities kama Angola na kwingineko.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Swali kwa nini wa import nje ya EAC?
 
Sawa mkuu kumbe walisha i reconstitute hii wizara kwenye wizara ya elimu. Thanks.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app


Dunia nzima Usalama wa raia (Police) wapo chini ya Home Affairs ila Wakulungwa wameona kuziweka zote chini ya wizara ya Ulinzi! Kwa hiyo hata Uhamiaji ipo na chini ya Wizara ya Ulinzi? Sijawahi ona!

Jamaa anadanganya ata Kunyaland police ipo chini ya ministry of Interior and Coordination of National Government!

 
warbus (tourism vans) za RSA na hanspaul ziko certified na Toyota!



Wewe ndio ulifanya certification ama? 🤣 🤣 Leta proof.

KCI is certified gold, the first in Africa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…