Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This stations won't be viable in 20 years, by 2050 zitajaa kama station za mwendo kasi itabidi zijengwe mpya
Yes but our rail will not be needing upgrade come 2050 only a small cost ya ku expand the stations. Sasa jirani come 2050 lazima ujenge reli mpya ya umeme na iwe continuous welded nani ana afadhali hapo au cost ipi ni kubwa hapo.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 

Mkiambiwa upgraded MGR yenu ni ghali bila sababu zozote za msingi mnakimbilia kutetea upumbavu.
Uliambiwa na nani SGR ya umeme Tanzania hakuna land compensation?

Specification! [emoji23][emoji23][emoji23]

 
Kigamboni kulijengwa the largest apartment project bigger than the total number of all apartments in kunyaland, zitakua resumed anytime sababu NSSF wapo kwenye vikao

Magufuli alikwamisha miradi mingi ya pension funds na NHC miaka yote 6 hakuna entity yoyote ya serikali iliyoruhusiwa kujenga majengo.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Dar es salaam kuna barabara nyingi za kutoka na kuingia mjini hivyo elevated expressway sio requirement yetu kwa sasa unlike Nairobi you only have Mombasa road ndio main artery yenu ya kutoka na kuingia mjini.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nipe drone yake
Hawezi leta drone humu ni aibu tupu miaka yote nothing to show off na mradi unatakiwa uwe umeisha by 2030. Halafu walivyokuwa wapumbavu hawa ujenzi wa huu mji waliuweka kwenye long term vision ya Kenya ambayo inaishia 2030. Instead ya kujenga uwezo wa kuzalisha bidhaa wanawekeza kwenye city ambayo demand hakuna. Cities normally zina grow naturally pushed by demand whay you need ni only city plan ili various developers waifuate as in the case of Kigamboni.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Na kingine wamefinyana eneo moja kwa wingi, concentration of residents ni kubwa sana kwenye eneo dogo, ndio maana mji wao umejazana watu wengi kama Chinese provinces tofauti na Dar, CBD huoni watu kabisa
 
Nairobi everything ni city center while us the suburbs are more livelier at night than city centre.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…