chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,741
- 46,082
'Expressway' yetu imeshasainiwa kutoka airport mpaka CBD ni BRT yenye urefu wa kilometers 23, ina flyovers na interchanges, terminus na stations za kisasa kama zote, hiyo Expressway yenu itaonekana kituko tuYou are writing nonsense na uongo. Danganyika will never have an expressway, even in your future plans there is nothing like an expressway [emoji23][emoji23]
Huu mjadala nishafanya na sama boy 255. Nenda google uangalie units na acres za nyayo estate alafu jitie Kofi.Nyayo ina nyumba 4k hiyo ina zaidi ya 7.5k
Mabus wanatengeneza wao ila ndoivyo hawapendi Show off 🙂 [emoji3]Wakenya, kwan wachezaji wenu wa timu ya taifa ya football wanasafiri kwa bus gan? Nimeomba bus lenu mpk sasa kimya [emoji23][emoji23]
'Mabus yanatengenezwa kenya' lkn wao wenyewe hawana hata moja kwa ajil ya timu ya taifa
View attachment 2231032
We kilaza kweli AVIC town is within Kigamboni and was part of it.Kigamboni City was just a Master Plan not a CIty in the air😄😄😄unajua AVIC town ilianza kujengwa kabla JPM kuvuruga mradi wa Kigamboni City kupitia kwa Waziri Lukuvi na Dodoma safariThat's Avic Town bongolala. Kigamboni city and Avic Town are two different projects, even developers aren't the same
Huu mjadala nishafanya na sama boy 255. Nenda google uangalie units na acres za nyayo estate alafu jitie Kofi.
'Expressway' yetu imeshasainiwa kutoka airport mpaka CBD ni BRT yenye urefu wa kilometers 23, ina flyovers na interchanges, terminus na stations za kisasa kama zote, hiyo Expressway yenu itaonekana kituko tu
BRT phase III
View attachment 2231420
Nairobi kuna station ngap za sgr?And just imagine our friends have Pugu sgr station in Dar to be proud of [emoji23] [emoji23]
View attachment 2231076View attachment 2231077
Kigamboni kulijengwa the largest apartment project bigger than the total number of all apartments in kunyaland, zitakua resumed anytime sababu NSSF wapo kwenye vikao
Tuonyeshe hizo 7.5k units tufunge account. 🤣 🤣 🤣Nyayo ina nyumba 4k hiyo ina zaidi ya 7.5k
Thanks for accepting that Nairobi is more robust than Dar.The reason you won't see Dar congested and over populated ni sababu ipo scattered
Video nyingi za Dar zinaonesha kama Dar ina watu laki 3 sababu hakuna msongamano kabisa tofauti na Nairobi kila kona ya mji ipo congested and overpopulated, hustling and bustling every corner without order, mna la kujifunza
Fixed currencies hizi ambazo ziko pegged kwa kitu au currency nyingine, their value ziko determined bado ndani ya Exchanges through demand and Supply...
Fixed exchange rate ni ile ya kujiamulia sasa mfano kuanzia leo Tsh ni sawa Dollar 10... Hii ndio Fixed exchange rate sio Fixed Currency.
Swali la kizushi... Hapo kenya nchini kwao 1966 Ksh ilikuwa pegged to Sterling Pound, 1971 wakahamia kwenye Dollar, miaka mi4 baadae yani 1975 wakahamia kwenye SDR... Special Drawing Right [emoji847][emoji23] (haya mabadiliko yanaonesha jinsi gani hawajui nini wanataka)
Hawakuishia hapo... 1982 wakai'peg ela yao kwa currency tofauti tofauti... Means even Ksh ni Fixed Currency... na Ksh inazidi kuporomoka thamani, wanaeza kutwambia sababu [emoji848].??
Sasa kama mtu hawezi tofautisha walau hizi term mbili tu "Fixed currency" na "Fixed Exchange rate" ajabu anajiita mwana Uchumi mtajadiliana nini sasa...
Not unless your blind or ignorant, BRT can never be expressway. Never. Dar haina ata nafasi ya kujenga expressway, your roads are too narrow'Expressway' yetu imeshasainiwa kutoka airport mpaka CBD ni BRT yenye urefu wa kilometers 23, ina flyovers na interchanges, terminus na stations za kisasa kama zote, hiyo Expressway yenu itaonekana kituko tu
BRT phase III
View attachment 2231420
Man is trying too hard to explain that sugar is salt. Impossible. Dar haitawahi kua na expressway.Tanzania has no expressway, wacha kuchokesha vidole.
Two stations in Nairobi to where vichakani ilipoishia sgr? You guys like putting the cart before the donkey ndio maana hamuishwi na vituko Africa hii.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yea 2 major stations, sgr na hii mpya ya mgr
Huna bundle?Tuonyeshe hizo 7.5k units tufunge account. 🤣 🤣 🤣
We are not like you. You build big stations porini while the main infrastructure is poor and old fashioned. Mchina knows how to play with your feelings na hiyo ndio foreign policy yao tu build things pleasing to the eyes but ndani ni uozo mtupu. Siku mkizinduka toka kwenye ushamba huu ndio mtajua hamjui.And just imagine our friends have Pugu sgr station in Dar to be proud of [emoji23] [emoji23]
View attachment 2231076View attachment 2231077
in total four, two for SGR (central and Pugu), one for MGR (central) and another for Cape Gauge Railway (TAZARA)!😂😂😂 Bro Dar es Salaam has three larger railway stations.. two for SGR and the other one for MGR
Huyo kilaza tu!View attachment 2231430
Galip Vrl swali lako zuri nimelileta huku ili tuwaulize hawa wakenya (nairobae, NairobiWalker, Nicxie, Tony254, Teargas ) labda wanamajibu.
BTW uwe unakuja kuja huku kututembelea.
Ndio sina bundle, haya tuoneshe hizo 7.5k units niondoke JFHuna bundle?
Bundle me najua ni ya unga tu, huku it's either ukona fixed internet or cable internet.Huna bundle?