Bagamoyo upo katika mazungumzo na wamefikia pazuri tu, hiyo expansion ya dar port na LNG figures zako zinasomaje, ziweke hapa.Mbona mkose cha kusema wakati mwenzenu anataja hadi Bagamoyo port iliyoshakula vumbi kitambo?! Then the value of most of the projects sio za kweli. Mfano ni Dar port expansion na LNG
Nairobi chafu, au unataka picha? Niambie nikuwekee picha ya wapi.Huyo alienda Nairobi ya Mwananyamala
What's the value of those projects happening in Dodoma? I would appreciate if you include a link to your informationWe matako, hapa tunazungumzia existence au tunazungumzia thamani ya miradi inayofanyika currently.? Luckily miradi ya Dom ilianza 2017 while konza ilianza since 2008
Kwa kauli yake amesema watu walitegemea miradi itakufa lakini yote inafanyika. Amesema hivyo jana. Bado muda upo yote yanawezekana.Tusubiri tuone wengine hatupo karibu na miradi mkuu.BRT PHASE 2 INGETUTOA KWELI KAMA INGEKAMILIKA NDANI YA HUU MWAKA SEMA HUYU MAMA ANATUANGUSHA ,KASHINDWA KUBUNI MIRADI MIPYA , kutokuwepo kwa miradi mipya tulitegemea kungeongeza kasi ya hii miradi iliyopo [emoji849] kinyume chake ...no new project na miradi ya zamani imebuma.
Bogomoyo is a dead project. Links to my figures I already shared earlier. pekua kurasa za nyumaBagamoyo upo katika mazungumzo na wamefikia pazuri tu, hiyo expansion ya dar port na LNG figures zako zinasomaje, ziweke hapa.
Wamefanya nini tena haw watu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hao wamefungiwa maisha kujihusisha na soka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnashtushwa kwasababu the longest elevated road in Tanzania is 100 metersTunajua humu ndani kila m1 anapenda barabara sio tu kwasababu tunamiliki magari ila Faida zake kwa ujumla zinafahamika....lakini Mradi wa barabara kutoka Tabora hadi katavi 342km wala watu haujawashtua(WaTanzania)...kuna watu wanashtuka sana na stretch ya 28km ambapo only 8.9km ndio ipo elevated
Kidole cha kati 😂 😂 😂Hapa umeonyesha nini sasa we mbwa.?
Hapa umeonyesha nini sasa we mbwa.?
Mwenzako alitaja Bagamoyo that's why. Sgr siitaji coz ours is operational na cost yake ilikuwa juu kuliko what you've already spent so far on your sgr ambayo bado umekwama vichakaniBagamoyo port umeona wap ukiwa unatekelezwa?na kwann habari za sgr unazikwepa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] varangati ,bongolala, nishakuambia Dodoma imekuwepo kabla ya Tanganyika kupata uhuru. Konza inajengwa from scratch and at the moment the focus is on building horizontal infrastructure ie roads, sewer systems, water system, network cables etc. View attachment 2230926View attachment 2230930View attachment 2230931View attachment 2230939View attachment 2230941View attachment 2230943View attachment 2230944View attachment 2230946View attachment 2230948View attachment 2230950
At least sisi we have something to show. Wewe nionyeshe render ya Kigamboni city na mahali ujenzi umefikia so far.Muambie akuoneshe render na ujenzi ulipofikia na akuambie ni mwaka wa ngapi huu fundi juma yupo site. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nitasoma. Ila nakazia Bagamoyo itakuwepo jipe muda utaiona imeanza [emoji846][emoji846], it was nearly dead but now is rising again and soon it will shine.Bogomoyo is a dead project. Links to my figures I already shared earlier. pekua kurasa za nyuma
As I'm talking right now there are 30 small rise buildings (6-11 storeys buildings) under construction in the upcoming city of which we call it Magufuli City (gov city) roads, electricity, sew, and all that.. it's from the scratch, we unanionyesha kagorofa kamoja haka 😂😂 claiming that the project is expensive than ours .. ar you crazy.? Heb onja ladha kidogo 👇 vile expensive projects hukaabongolala, nishakuambia Dodoma imekuwepo kabla ya Tanganyika kupata uhuru. Konza inajengwa from scratch and at the moment the focus is on building horizontal infrastructure ie roads, sewer systems, water system, network cables etc. View attachment 2230926View attachment 2230930View attachment 2230931View attachment 2230939View attachment 2230941View attachment 2230943View attachment 2230944View attachment 2230946View attachment 2230948View attachment 2230950
Na sisi yetu hii iliyojengwa na wakenya [emoji1787][emoji1787]
Umehamia Kigamboni sio DODOMA tena 😂😂😂 Dah.!!At least sisi we have something to show. Wewe nionyeshe render ya Kigamboni city na mahali ujenzi umefikia so far.
Dodoma can't even compete Tatu City.Weka hiyo miradi ya konza yenye inafika hata robo of what going on in DODOMA
SGR haijakwama iko under construction, sasa ulitaka iishe kwa mwaka mmoja. Ni ujenzi wa boxes nini ndg?Mwenzako alitaja Bagamoyo that's why. Sgr siitaji coz ours is operational na cost yake ilikuwa juu kuliko what you've already spent so far on your sgr ambayo bado umekwama vichakani