Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ogopa wezi mkuu, msomi kutoka Kenya humu ni mmoja tu, wengine wote ngumbalu, wakijua broken ya kwenye mitandao basi nao wasomi.
 
Kwenye bus stations mpo mbele. Huo ndio ukweli. Ila jina Nyamhongolo mngebadilisha 🀣 πŸ˜‚
 
Wewe hujanielewa, umetuonesha hivyo vyeti, lkn swali ni kwamba TUTAJUAJE NI VYAKO?

Hapa JF tunatambuana utaalam wetu kwa namna tunavyojenga hoja za kitaalam kwa umahiri na uweledi kwenye tasninia fulani.
Nilitegemea kwenye issue ya ASSETS hasa kwenye issue ya private car ya mtu angeielezea kitaalamu lakini naona hata haja scratch the surface 🀣 . so mwalimu wake alivyotaja aina za assets ndio kabaki nazo hizo hizo karuka madaraja yote hayo na mitihani kibao na mavyeti yote hayo, miaka yote hiyo bado hajaopoa chochote. Imagine na yeye akiwa mwalimu anaambukiza kila kitu kwa kizazi kifuatacho na kizazi hiko kikaambukiza hayo hayo tena yatakua yanapungua quality kwa jinsi wanavyoyapokea hayo matango kwa waliowafundisha mwanzo. Tuna majanga sana kuliko tunavyojua.
 
Ukitaka kuamini hii flyover haina maajabu Wakunya wote wakipost picha ya hii expressway ya mchina wanapost flyover tu, yn road ina km 27 lkn wanaweka picha ya haka kaeneo ka km7 zilizoinuka basi so km zingine 20 zilizobaki hazina maajabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…