Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Absolutely right, Counties get ksh 407 bn and each county has its own Health budget... heaven and earth...
 

Unamuongelea mama Samia aliyesema mafuta Marekani ni ghali kuliko Tanzania? Picha hii ni ya majuzi, bei inapingana na maneno yake.

Unleaded (regular) gas price ni $3.95/gal

1 gallon = 3.785liters = $3.95
1 liter = $(3.95/3.785 ) = $1.043 = Tsh (2,326 x 1.043) = Tsh 2426

Je, bei ya mafuta Tanzania ni chini ya Tsh 2426?
 
😅😅 Mtu kama huyo unamdismiss tu, no need kumention kitu
 
Wewe Chamoto na Justinr nani aliwadanganya kwamba magari sio asset? mnasema eti kwamba magari ni liability? Mnatia aibu sana aisee. Mambo ya uhasibu wacheni kama hamyawezi. Mzee wenu The best 007 aliyesomea haya mambo aje awasahihishe.
magari ni fixed na noncurrent assets!
Hiyo ni definition ya kimasikini, matajiri huwa wanamaana tofauti wanaposema asset. Kwao gari ni asset pale tuu inapokuingizia pesa (mf daladala, taxi, rental n.k). kama haikuingizi pesa inakuwa liability kwasababu utaigharimia bima, mafuta, usajili na matengenezo... wakati thamani yake ikishuka.

Exception ipo pale tuu unapoitunza kama classic car, ambapo thamani yake huongezeka kila mwaka kutokana na rarity yake.

Matajiri huwa wananunua jets ili kununua muda wa kufanya biashara kubwa haraka na hivyo kuzifanya jets hizo kuwa asset.
 
i always tell them tht, kenya being the larger economy, will always dorminate in every other front. but they'll never buy my words.... and especially The best 007 and joto la jiwe.
they should knw tht the gdp per capita is directly proportional to the well being of citizens of a given country across the world. that said, kenya is more than double their per capita... ie. whatever a tanzanian has.. a kenyan has more than ×2 tht.. be it the size of house or even the no. of bottles of beer on the table, at any given tyme..
so wht will u expect.? a tanzanian to be richer...!? their's no miracles here... its pure logic
 
Hakuna kujipendekeza hapa. Ukweli ndio hampendi.
800k students vs 400k students hapo kuna battle kweli? Halafu mwishowe tukileta zile data za HDI na nyinginezo mnaanza kutoa povu eti zimepikwa. Poor bongolalas!
Hiyo inaonesha jinsi mlivyo wengi kuliko sisi na mnazaliana sana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
If I'd a choice to choose one definition of an asset, from a fat potbelly middle aged accountant who can't rub two nickles together and a billionaire, I'd choose the latter. Seven days a week and twice on Sundays.
 
Sasa mbn umepanic bro [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…