[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sikiliza hiyo clip, walikua wakishauriana, yaani kumbe, waliweka ubwabwa kwenye friji the day before[emoji17]
Wanahali mbaya sana!
Usijisifu sana. 3% of Kenya's import ndio inatokea Tanzania. 97% of Kenya's import inatokea nchi zingine duniani. Kwa hivyo hatuwategemei sana.Tunakuaje masikini kuwashinda wakati mnategemea Tanzania kuliko nchi yoyote Africa?
Unaweza kumtegemea mtu dhoofu kukuhudumia mahitaji yako kwa asilimia kubwa hata kama unalipia?
View attachment 2226578
Mpo blessed kwenye jambo moja tu, kujitosheleza kichakula. Ila kwenye mambo mengi hamtufikii.Kabisa mkuu sisi hivi vitu ni vya kawaida sana kila mtu anaweza kujihudumia tena me nakumbuka wazee wetu kule vijijini huwa hawali kabisa kiporo chochote wanasema ni cha watoto wadogo. Tanzania ni blessed Land.
Ukweli kwa ground ni vice-versaUsijisifu sana. 3% of Kenya's import ndio inatokea Tanzania. 97% of Kenya's import inatokea nchi zingine duniani. Kwa hivyo hatuwategemei sana.
Sema uchapakazi hautapungukiwa kitu, hata DRC wana ardhi nzuri na kubwa kuliko Tanzania lakini hawawaletei chakula, Nairobi inategemea chakula kutoka Tanzania kwa 78%, Mombasa 99%, Kenya kwa ujumla ni 70%Mpo blessed kwenye jambo moja tu, kujitosheleza kichakula. Ila kwenye mambo mengi hamtufikii.
Ila hii video imenifikirisha sana. Wacha tuendelee kufanya utafiti, wewe unaweza kuwa unakula chakula kizuri lakini majority of Kenyans are not.hivi, ungekua unaishi kenya kamavile Shebby01 ndo ungeelewa kua chakula kenya sio issue hata kidogo. ni kingi saana...
haya munayo angazia hapa kila kukicha, ni ile hali tu ya kutafutia kenya makosa, ili tu mradi........
Huu msafara wote bado unasafarisha $0.5 billion pekee to Kenya. Pesa kidogo hio ukilinganisha na total import ya Kenya. Hatuwategemei sana kama unavyodhani.Ukweli kwa ground ni vice-versa
Next meal and next shelter..kama mahitaji muhimu ya binadamu ni hayo mambo 2 na mavazi (clothing),karne hii wanakosa mahitaji mawili muhimu lazima wawe na hasira na nuru inapotea mwili unakosa virutubisho.Wakunya ni mafukara kutoka utosini mpaka unyayo ndio maana mara nyingi wana hasira kali
Ukifika Nairobi kila mtu usoni ni kama anataka kumla mtu muda wowote, ni vigumu sana kumuona mkunya anatabasam, muda wote kakaza fuvu sababu ya kufikiria next meal and next shelter sababu ni vitu hawana uhakika navyo kabisa
Tofauti na Watanzania huwa tunafikiria sana vitu luxury sababu kwenye basic needs tumeshatoka huko.
Huo sio ushahidi. Kama huna data tulia tu mzee sio kuweka vipicha hapa. Usilazimishe vitu.Sema uchapakazi hautapungukiwa kitu, hata DRC wana ardhi nzuri na kubwa kuliko Tanzania lakini hawawaletei chakula, Nairobi inategemea chakula kutoka Tanzania kwa 78%, Mombasa 99%, Kenya kwa ujumla ni 70%
Ushahidi huu hapa
Umesahau na call centres [emoji23][emoji23][emoji23]Vingi mno, wao wanafikiri kwa akili ndogo ya office hosting [emoji28][emoji28]
Hii habari inanishangaza sana,makao makuu ya nchi kuwe na njaa kuliko Turkana kule North,hii nchi vipi [emoji848][emoji848] na bado wanatuwekea figisu tusiwapelekee chakula??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nairobi kuna njaa kali kuliko hata Turkana na Mombasa
ETC Gate hazifanyi kazi? Au wachache wanatumia.😂😂folen kwenye expressway
Na bado wanafanya figisu figisu ili malori yetu yasiingie kwao,kuna viongozi ambao hawana uchungu kabisa na uhai wa watu wao.90% ya chakula Chenu mnategemea Tanzania na siku zote imported goods are never been cheap, nafikiria tu horohoro kupo hivi, vipi mipaka mingine ambayo ndio ipo busy kuliko horohoro?
Kweli ni bonge la ubunifu, dogo na managers wake wako na ubunifu mkubwa.Kunyans kila siku wanasema wao ndio wanafanya wasanii wa Tanzania wafanikiwe
Huku ni West Africa ivory coast French speaking country lakini mtanzania anafanya maajabu na anatangaza Tanzania yetu, mkunya hafiki hizi levels hata tukimpa miaka 5000
Huyu baba levo na mwijaku ni machawa tu hawezi kuongea kitu ukakitilia maanani , mtu anayesema mlima Kilimanjaro upo Arusha tena kwenye vyombo vya habari (mwijaku) unaweza kuona ni jinsi gani ambavyo haijui nchi yake.Hawa waulize Zari alivyokuja Tanzania alilala wapi, kula, kunywa nani alimtongoza....udaku ndio sehemu ya maisha yao.ungejua baba level huku Dar ni tunamwona kama mwendawazimu, hivi role model akiwa mwendawazimu, wewe utakuwa ni nani?
Kumbe ndio maana yule mkunya alisema asante sana ndugu yangu...baada ya kumwambia amefanana na mtz [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwao ni majanga.Kwa Kenya chakula ni the biggest issue.
Nimecheka sana [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kind of truth kunyans may kill you after telling them [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2226484
View attachment 2226488
View attachment 2226489
View attachment 2226490
View attachment 2226491
View attachment 2226492
View attachment 2226493
View attachment 2226494
View attachment 2226495
View attachment 2226496
View attachment 2226497
View attachment 2226498
View attachment 2226499
View attachment 2226500
View attachment 2226501