Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You were talking about Karen idiot, hio video umeleta ni ya Karen? Karen sio level ya mtu, most importantly the entire tz. Izo vitu unatuonyesha sio mapya
Karen kuna vumbi na picha zimewekwa humu unataka ushahidi gn ss.
 
So you control economy because of news paper, yn ww kumbe ndiyo maana una kichwa kdg na masikio makubwa alafu ukapiga bonge la tai[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2226113

Huo ukuta na hiyo grill unapata aina ya jengo alilipo [emoji23]
 
But Kenyans control the economy of Tanzania. Tanzanian transport sector is in the hands of Kenyans cause your buses and lories are assembled in Kenya.
Umekalilishwa toka enzi za kuchonga mabodi siku hizi mabasi yanakuja in full body.Marcopolo,Youtong nk..
 
Kwa Kenya chakula ni the biggest issue.
 
Mtu akikusikia ukiongea anaweza fikiri kwamba Tanzania ni tajiri kushinda Kenya. Nyinyi japo mna rasilimali nyingi kutushinda bado ni masikini kutushinda.
 

Hawa kondoo ili washinde battle humu inawabidi wapotoshe na kudanganya ndio maana hutowaona wakikosoana.
Nishawaambia watadanganyana wenyewe kwa wenyewe tu ila sio kudanganya Watanzania.
 
Tanzania kwa nini Kiingereza huwa kimewakataa namna hii? Eti mtu kaandika 2st badala ya 2nd 😁😅😂
 
Hizo kucha za huyo mtu aliyebeba ugali mmeziona? Aisee watu ni wachafu hawa [emoji849][emoji849][emoji849]
 
Mtu akikusikia ukiongea anaweza fikiri kwamba Tanzania ni tajiri kushinda Kenya. Nyinyi japo mna rasilimali nyingi kutushinda bado ni masikini kutushinda.
Tunakuaje masikini kuwashinda wakati mnategemea Tanzania kuliko nchi yoyote Africa?

Unaweza kumtegemea mtu dhoofu kukuhudumia mahitaji yako kwa asilimia kubwa hata kama unalipia?
 
Kabisa mkuu sisi hivi vitu ni vya kawaida sana kila mtu anaweza kujihudumia tena me nakumbuka wazee wetu kule vijijini huwa hawali kabisa kiporo chochote wanasema ni cha watoto wadogo. Tanzania ni blessed Land.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…