Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Njaa mbaya sana, yaani wanafikiria kuweka ugali kwenye friji🤣🤣🤣🤣

Dah!

Njaa mbaya sana, jamaa awachezi na chakula, mimi sijawahi kula hata rice toka kwenye friji, imagine, Kenyans na ugali kwenye friji 🤣
 
🤣🤣🤣🤣 Wana hesabu kali aisee mpaka huruma

Thinking about eating frozen ugali 🥶🥶🥶

Haingii akilini kabisa, hata kula ugali uliolala kwenye nyumba nyingi za kitanzania hilo halipo kabisa, ugali ukibaki lazima utupwe na sababu nyumba nyingi za kitanzania zina mifugo mara nyingi hupewa mbwa au kuku

Wakunya wanapiga hesabu kali hapo kinoma 😂😂😂😂

We take things for granted a lot!
 
Mind your line bwanamdogo, unatoka kwenye poor city , uko na uharo na unajivimbisha hapa[emoji16][emoji16]utajiharia
Unless you forgot. But worry no more, I'm here to remind you where your precious Dar is slum belongs.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…