The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Si umeona utoto walio nao hawa mbwa, hii battle ya dual carriage ways ilishapita na wakanyoosha mikono juu, leo wanakuja tena na utoto ule ule, hawa jamaa lishe hamna ndio maana wanasahau sahau sn.Where is the lie, zingine ni same road just changing names after an intersection.
Una moyo kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kazi ipo.
Wanakuambia unarudia rudia road [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wahitaji roads 20 ngoja niwaongezee
15. Lumumba road
16. Uhuru road
17. Morocco to Tegeta road
18. Shekilango to Bamaga road
19. Coco beach road
20. Road ya Fire to Serander bridge mnaitaje? UN road?
Jengeni barabara kwanzaSi umeona utoto walio nao hawa mbwa, hii battle ya dual carriage ways ilishapita na wakanyoosha mikono juu, leo wanakuja tena na utoto ule ule, hawa jamaa lishe hamna ndio maana wanasahau sahau sn.
Kisa expressway?wewe kweli takatakahalafu mamburula wengine wanafaninsha Nairobi na takataka fulani yenye sitaitaja..shindwe pepo!!!!
It's called being knowledgeable. Hata za Kampala nazijua, za Nairobi nazijua, za Mombasa nazijua, na miji mingine mingi. Halafu hizi barabara zote ziko Google maps unaweza ziangalia wakati wowote ukitaka. Hiyo sii kufuatilia bali kujua Geography. Ila mtu wa kawaida Nairobi hafuatilii Dar kama wa Dar anavyofuatilia nairobi.kumbe unajua barabara za Dar kuliko mim.. afu mnasema sis ndo tunawafilia nyie sana
why not mention yours first
ila kwenye dual roads, Dodoma region ndo baba lao East and Central Africa nzima
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]daily dosage is scumHii picha imepostiwa mara 1000 eneo hili hili, ila hapa hawapaoneshi. Daily dosage they will never show you [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2225683
Huyu elimu kichwani hana, unawezaje kujua miundombinu ya nchi nyingine bila kufuatilia, shule hamna humu.It's called being knowledgeable. Hata za Kampala nazijua, za Nairobi nazijua, za Mombasa nazijua, na miji mingine mingi. Halafu hizi barabara zote ziko Google maps unaweza ziangalia wakati wowote ukitaka. Hiyo sii kufuatilia bali kujua Geography. Ila mtu wa kawaida Nairobi hafuatilii Dar kama wa Dar anavyofuatilia nairobi.
Halafu kulinganisha Dodoma na miji ya Kenya kwa dual carriageways ni kicheko. Shida yenu Wabongo vitu nyingi mmepata juzi so mnakuwa excited. Hivi Dodoma utapata barabara kama hii iliyoko Mombasa? Heehee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daily dosage is scum
NB;one and onlyThe one and only express way with BRT in East and Central Africa.
Sa unataka kulia. 🤣 🤣 🤣 hakuna vile less than 10 inaweza shindana na more than 50.Si umeona utoto walio nao hawa mbwa, hii battle ya dual carriage ways ilishapita na wakanyoosha mikono juu, leo wanakuja tena na utoto ule ule, hawa jamaa lishe hamna ndio maana wanasahau sahau sn.
Mbona unakuwa kilaza kama mwenzako? Expressway ishajengwa, barabara ya chini billioni 9 za Kenya zishatengwa ijengwe. Hizo picha mnazoshare ni kitu kinachoitwa passage of traffic kwa lugha ya kihandisi - yani a temprary road to serve while the main road is under construction.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]daily dosage is scum
Jiupdate hizi taarifa zinaendana na umri wakoDar is a slum with less than 10 dual lane roads. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mdomo wanajua kupiga lakini data can not lie.
Unajitapa na thika tu?Morogoro Road 6lanes to 8lanes ni 39km...tunajua thika ni 40km na uache uongoHalafu mbona Huweki km? Heeheee, isijekuwa Thika Road pekee imezishinda hizo zote kwa urefu maanake Thika road ni over 60km na inaongezwa up to Nyeri phase 1 (153km) then up to Isiolo phases 2 and 3 (264km). Heehee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]badae watakwambia haziko marked..hawakosi cha kusemaDar hakuna dual lanes.
Dar dual lanes hazifiki kumi.
Dar dual lanes hazifiki ishirini.
Mbona unaweka bila km zake.
Hawa ndio kondoo. [emoji23][emoji23][emoji23]
SSH naenda kuzindua 400+km of paved Road (bitumen standard)huko Tabora kuanzia tar 17 may 22,nmeona expressway imewapa goosebumps nyote...ni kama hamna akili hivi
Mbona unalalamika sana,hii ni battle no mercyMbona unakuwa kilaza kama mwenzako? Expressway ishajengwa, barabara ya chini billioni 9 za Kenya zishatengwa ijengwe. Hizo picha mnazoshare ni kitu kinachoitwa passage of traffic kwa lugha ya kihandisi - yani a temprary road to serve while the main road is under construction.
View attachment 2225943
After Expressway launch, old Mombasa Road now set for Ksh.9B facelift
The construction of the 27-kilometre Nairobi Expressway from Mlolongo to Westlands has caused interruptions along parts of Mombasa road, Uhuru highway and Waiyaki way.www.citizen.digital
HeeheeeUnajitapa na thika tu?Morogoro Road 6lanes to 8lanes ni 39km...tunajua thika ni 40km na uache uongo