chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
😂😂😂😂😂Huwa nacheka sn wanapoanza kujilinganisha na Tz kwenye mtandao wa lami, yn Kenya ishindane na Tz kwenye mtandao wa lami? Nchi kubwa mara mbili ya kanchi kao na bado miji yote inafikika kwa lami alafu uje ulinganishe Tz na Kenya kwa kuangalia vi data vya miaka 20 iliyopita [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Soja endelea kuota mchana ju usiku unaingia shift. 🤣 🤣 🤣Karen your only posh area has been surrounded by unpaved roads.
Kubali kataa Tanzania inaongoza ukanda huu kwa mtandao wa barabara za lami na standard tarmacked roadsItatuchukua milele because we can't go back from 21,000km of paved roads to 8,000km which Tanzania has.
View attachment 2225803
Soja don't make me to embarrass you.Huwa nacheka sn wanapoanza kujilinganisha na Tz kwenye mtandao wa lami, yn Kenya ishindane na Tz kwenye mtandao wa lami? Nchi kubwa mara mbili ya kanchi kao na bado miji yote inafikika kwa lami alafu uje ulinganishe Tz na Kenya kwa kuangalia vi data vya miaka 20 iliyopita [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakunya mnaona sisi watanzania jinsi elimu ilivyotusaidia? Angalia road ilivyo na ubora na imejengwa na kampuni ya kizalendo, see the one and only express way with BRT lanes in East and Central Africa. Wakenya mtafika hapa mwaka 2500 mkiwa hoi sana[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2225736View attachment 2225737View attachment 2225738
Wakunya wajue Kibaha ni mkoa tofauti na Dar, Dar ni 3 Nairobis lakini bado it's metropolitan development infrastructure plan imegusa mpaka far next region, yaani ni sawa na miundombinu ya Nairobi ifike mpaka Nakuru 😂 haya ni maajabu kwa kunyaland
Soja I'm sure hujui meaning ya expressway 😂😂The one and only express way with BRT in East and Central Africa.
Acha kulia basi😂😂😂👇👇Kubali kataa Tanzania inaongoza ukanda huu kwa mtandao wa barabara za lami na standard tarmacked roads
View attachment 2225809
Walk the talk and show us a recent map.Hiyo map ni ya zamani sana, 80% of those red roads are tarmacked. To mention few, Goba, Kifuru and Kigamboni
Your source is Tomato Sauce. 🤣 🤣 🤣Kubali kataa Tanzania inaongoza ukanda huu kwa mtandao wa barabara za lami na standard tarmacked roads
View attachment 2225809
@Tony254Umenikumbusha kitu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Karen 98%looks like thisKama masaki and surrounding neighborhoods kuna unpaved roads na ndio kwa mabwenyenye. Uswazi je?
And slums 😂😂😂Karen your only posh area has been surrounded by unpaved roads.
Zoom tuoneHamna. Dar naweza zoom area kubwa kama hii nisione paved road hata moja na huo ndio mji mkii. Huwezi pata upuzi kama huu Nairobi.
Inaitwa Karen-end yani mwisho wa Karen, locals call it Karinde na hapo sio Karen, jaribu tena. 🤣 🤣 🤣
Dual lanesDar is a slum with less than 10 dual lane roads. 🤣🤣🤣🤣 Mdomo wanajua kupiga lakini data can not lie.
Kuna Lumumba,Uhuru piaDual lanes
1.nyerere road
2.bibi titi road
3.ali mwinyi road
4.msimbazi street
5.kawawa road
6.toure drive
7.barack Obama drive
8.morogoro road
9.mandela road
10.sam nujoma road
11.chang'ombe road
12.kilwa road
13.mtongani changombe road
14.nyerere bridge road
Dar is full of informal settlements slums lakini hampendi kuambiwa ukweli, but data doesn't lie. 🤣🤣🤣 Ukweli wa data analysis ndio tunatumia hapa.And slums 😂😂😂