Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua maana ya neno unpopular kweli? Mbona unasema kwamba Shinyanga ni unpopular? Ama ulimaanisha kwamba Shinyanga ni sparsely populated? Unpopular ina maana tofauti, maana yake ni mtu au kitu kinachodharauliwa, yaani kisichopendwa.
 
Ha ha ha unpopular ni kitu gani? Kiswahili popular ni maarufu,unpopular kinyume chake.
 
Wakunya mnaona sisi watanzania jinsi elimu ilivyotusaidia? Angalia road ilivyo na ubora na imejengwa na kampuni ya kizalendo, see the one and only express way with BRT lanes in East and Central Africa. Wakenya mtafika hapa mwaka 2500 mkiwa hoi sana[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dude kuwa serious? Nani kakudanganya kuwa Dar main roads tu ndio ziko paved? DMDP imeweka lami hadi uswahili ndani ndani kabisa. Hata kabla ya DMDP mitaa mingi tu midogo ilikuwa paved.
Kama masaki and surrounding neighborhoods kuna unpaved roads na ndio kwa mabwenyenye. Uswazi je?
 
Dude kuwa serious? Nani kakudanganya kuwa Dar main roads tu ndio ziko paved? DMDP imeweka lami hadi uswahili ndani ndani kabisa. Hata kabla ya DMDP mitaa mingi tu midogo ilikuwa paved.
Hamna. Dar naweza zoom area kubwa kama hii nisione paved road hata moja na huo ndio mji mkii. Huwezi pata upuzi kama huu Nairobi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…