chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
Kama network ya umeme wenu tu!Mimi ninazungumzia idadi na capacity. Ninaposema ICT sector ya Kenya ni kubwa kushinda ya Tanzania simaanishi kwamba nyie hamna fibre optic cable, la hasha, namaanisha kwamba mna fibre optic cables chache kushinda Kenya na total bandwidth ya fibre optic cables zenu ni ndogo kushinda total bandwidth ya fibre optic cables za Kenya, kwa mfano the latest cable iliyoland Kenya ina more capacity kushinda capacity za cables tano za awali za Kenya.
Sijatengeneza hivi vigezo. Hivi vigezo vipo. Wewe umesema hujui chochote kuhusu ICT sasa unaropokwa kwa nini?Wacha kutengeneza vigezo unavyotaka wewe, kitu chochote kinachohusu IT lazima kitumike ili kulinganisha ukubwa wa IT katika nchi.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Usikimbilie kwenye umeme bado tupo kwenye ICT. Ila hata huko kwenye umeme nitakupiga vibaya.Kama network ya umeme wenu tu!
View attachment 2225200
View attachment 2225201
View attachment 2225202
😅😅😅 Nani alieelemewa?Usiingilie hii battle. Hii battle ni kati yangu na chongchung ambaye sasa ameshaanza kulemewa. Anatia huruma sana. Battle ya ICT na Banks wacheni kabisa Watanzania. Niwape advice ya bure tu.
Sasa hiki nini? Umechanganyikiwa?Usikimbilie kwenye umeme bado tupo kwenye ICT. Ila hata huko kwenye umeme nitakupiga vibaya.
Hili ni tatizo Sana kwa wakenya, huwa ninalisema kwako mara nyingi Sana, kwanini wewe au ninyi wakenya mnalofanya au mnalosema ndio mnataka ndio lionekane ni sahihi lakini la nchi zingine sio sahihi?,Hii battle imeharibika kwa sababu ya upuuzi wako. Nilitegemea ulete data kwamba Tanzania ina more data centres kushinda Kenya. Kwamba data centres za Tanzania zina bigger capacity kushinda za Kenya. Kwamba Tanzania ina more fibre optic cables kushinda Kenya. Kwamba fibre optic cables za Tanzania zina bandwidth kubwa kushinda za Kenya. Kwamba Tanzania ina more smartphone users kushinda Kenya. Kwamba Tanzania ina more start-ups kushinda Kenya. Kwamba start-ups za Tanzania zinaraise more money internationally kushinda za Kenya.
Kwamba Tanzania ina more research labs kushinda Kenya. Kwamba Tanzania ina more ISPs (internet service providers) kushinda Kenya. Kwamba Tanzania ina more internet users kushinda Kenya. Kwamba Tanzania ina more mobile money users kushinda Kenya. Kwamba Tanzania ina more ICT multinational regional headquarters kushinda Kenya. Kwamba Tanzania mna a higher mobile phone penetration rate kushinda Kenya. Kwamba Tanzania mna 5G (najua hamna 5G na sisi tunayo) na kadhalika.
Lakini wewe umeharibu hii battle kwa utoto wako. Wacha mtu mwingine anayeelewa haya mambo aje tudebate. Wewe hii topic huwezani nayo napoteza muda wangu bure.
Tanzania ndiyo nchi ya kwanza kupata hiyo "under sea fibre optic cable, na nchi za Burundi na Rwanda wanachukua toka TanzaniaWewe huwa unaongea bila facts kila wakati. Unaropokwa tu. Two months ago kuna fibre optic cable ililand Mombasa kisha ikaruka Tanzania na ikaland SA kisha next destination ni Nigeria. Fibre optic cable coverage in Kenya is better than Tanzania by far. Fibre optic cable soon inafika hata Turkana. Kuna fibre optic cable ambayo ujenzi wake unaendelea inayotokea Mombasa na kupitia Turkana na kuingia South Sudan.
Sasa kilometre za broadband haijaandikwa kwenye picha ya Kenya au Tanzania. Sasa tutajuaje nchi gani ina kilometres nyingi za broadband? Usiweke vitu vya hovyo ambavyo havisaidii debate. Mimi nilitarajia utueleze ni nchi gani kati ya KE na TZ ina kilometres nyingi za broadband.Sasa hiki nini? Umechanganyikiwa?
View attachment 2225205
View attachment 2225206
View attachment 2225207
Unaweza kusoma hii ramani kwa utulivu?Sasa kilometre za broadband haijaandikwa kwenye picha ya Kenya au Tanzania. Sasa tutajuaje nchi gani ina kilometres nyingi za broadband? Usiweke vitu vya hovyo ambavyo havisaidii debate. Mimi nilitarajia utueleze ni nchi gani kati ya KE na TZ ina kilometres nyingi za broadband.
Eleza ukubwa wa hizo undersea fibre optic cables, ni ujinga kuwa na many low capacities cables nyingi wakati Moja pekee inaweza kuwa kubwa kuliko hizo zenu zote.Mna fibre optic cables ngapi? Tuanzie hapo. Sisi tuna sita. Hii ya sita iliyoland last month ina more bandwidth kushinda hizo tano za Kenya za awali. So kwenye bandwidth pia tumewapiga.
actually it is more than this now!Hawa kondoo wametuzidi kelele tu.View attachment 2225194
Usiongee usichokijua. Fibre optic cable ya Kwanza Kenya ililand 12th June 2009. Cable yenu ya kwanza ililand lini?Tanzania ndiyo nchi ya kwanza kupata hiyo "under sea fibre optic cable, na nchi za Burundi na Rwanda wanachukua toka Tanzania
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe unatumia bundles na unatuandikia mambo ya broadband hapa, Dar hamna broadband internet kwa many residential areas.Sasa hiki nini? Umechanganyikiwa?
View attachment 2225205
View attachment 2225206
View attachment 2225207
Hii cable ya sita ya Kenya ina total capacity ya 192 terabits per second. Sasa leta capacity ya cable zenu.Eleza ukubwa wa hizo undersea fibre optic cables, ni ujinga kuwa na many low capacities cables nyingi wakati Moja pekee inaweza kuwa kubwa kuliko hizo zenu zote.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huo ndio ukweli, uchumi wenu Kenya ni mwembamba Sana. Kenya's Economy is very thin, not inclusive like Tanzanian, when you talk about Banking and ICT sector, you mean only urban economy which employ mainly educated people, they employ very few people.Hahahahaha. Hahaha. Wacha nicheke kama venye ulikuwa unacheka zamani.
Wewe leta data, kama huna basi tulia tu.Unaweza kusoma hii ramani kwa utulivu?
Tanzania inaziunga nchi 8 na fibre optic cables, Tanzania ni 2 times bigger than Kenya,
Tunahitaji mjadala hata kwenye hili?
View attachment 2225226
Hapa nimekubali. Mumetupiga kwenye kigezo kimoja hiki cha number of mobile money users. Ila hii data ni ya 2020. Ningependa kuona data ya 2021. Halafu source ya hii data sijajua ni gani, naishuku sana. Ila hapa nimekubali kushindwa kwa sasa.😅😅😅 Nani alieelemewa?
Hii upper cut sijaona majibu yake kabisa, umeipita kama kipofu 🤣🤣
View attachment 2225203
Kwani wewe unajua au umesomea ICT?, Jana umeuliza kuhusu jinsi ya kuficha sura na umeeleweshwa, wiki iliyopita ulifindishwa jinsi ya kupanga *window" ya laptop yako. Mimi sio mbobezi katika ICT lakini sidhani Kama Mimi na wewe Kuna tofauti kubwa Sana[emoji1][emoji1][emoji1]Sijatengeneza hivi vigezo. Hivi vigezo vipo. Wewe umesema hujui chochote kuhusu ICT sasa unaropokwa kwa nini?
Wewe leta data, kama huna basi tulia tu.