Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nitajie nchi yoyote maskini ambayo ina export zaidi kwa nchi tajiri kuliko ku import toka kwa hiyo nchi tajiri.
 
Bongo hakuna upinzani kuna wachumia tumbo tu, hata pale CCM kuna malaya wengi sana, wakipewa uteuzi wanaanza mapambio, wakitolewa wanaponda. Kama tungelikuwa na upinzani makini hakuna kipindi CCM ingepata shida kama 2025 but unfortunately hakuna jipya.
 
Sitaki niseme zaid nitakufuru[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]View attachment 2221343
Mtu mwenye uwezo wa kupika chakula tofauti anakula milo 3 anacheka kwamba ana njaa na anaona ni sawa na wale wa kwao ambao hawana hata kitu cha kupika mpaka wanakufia kwenye hema hata maji ya kunywa walikosa.

Serikali yao haijigusi, haisikitiki kwa hali wanayopitia wananchi wake, haina mshipa wa aibu wanasingizia ukame. Nini maana serikali kama haiumizi kichwa wala kuumizwa na wananchi wake kufa njaa?

Serikali haina mfuko wa dharula wa chakula, wawakilishi wao wanawasemeaje huko Bungeni.? Hawa wakenya wana roho mbaya na ya kinyama sana yaani wanamuacha mtu anajifia kama mnyama bandani mwake kisa amekosa chakula kweli??
 
Wazee Mkenya ukimsikia akiongea utafikiri anamiliki vyote vizuri kwao dawa ni kwenda nao ground🤣🤣🤣🤣🤣
Wenzetu kule north wana dessert kubwa lakin cha ajabu huwezi kuskia njaa🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…