Ni kweli siyo zote zinabaki hapa nchini nyingine zinaelekea Rwanda, Burundi, Congo, na Zambia. Safari ya mama huko Ug tegemea makubwa zaidi juu ya makubaliano ya biashara.Nadhani gari zingine zinaenda nchi za jirani,kuna nchi zitakua zimeacha kutumia bandari flan,yatakua maumivu makali sana kwa wakunya
Mchina aliona anapoteza muda kwenye mission impossible😁😁😁😁😁😁😁Tony254 hivi huu upuzi wenu uliishiaga wapi? Upo hodari sana kuulizia SGR ya Tanzania huu upumbavu wa nyumbani umeufumbia macho
View attachment 2220234
Haya ni maisha yetu Watanzania ndio maana watoto wetu siku hizi sikukuu wanaona kitu cha kawaida maana hamna jipya. Wanakula mara kwa mara nguo wanavaa mpya kila mara,kama matembezi wanatolewa out na wazazi wao, tuna maisha mazuri watz, sikukuu haina mvuto sana siku hizi.U
Ulisahau hii picha mkuu bora nikukumbushe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2220037
Aisee ni neema kubwa kuzaliwa tanzania tumshukuru Mungu sana!Haya ni maisha yetu Watanzania ndio maana watoto wetu siku hizi sikukuu wanaona kitu cha kawaida maana hamna jipya. Wanakula mara kwa mara nguo wanavaa mpya kila mara,kama matembezi wanatolewa out na wazazi wao, tuna maisha mazuri watz, sikukuu haina mvuto sana siku hizi.
Utawaua ndg hawa jamaa [emoji23][emoji23][emoji23]Chinese works in Kenya vs Chinese works in Tanzania [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2220159View attachment 2220160
Kaongelea magariacha kuongeza chumvi baba! kwahiyo Rwanda, Burundi na DRC wame-order mabehewa bila ujenzi wa reli yenyewe kuanza? Wamekuwa Lamu port?
Ooohk nilidhani haya mabehewa! 🤭 🤭 🤭 🙏🙏Kaongelea magari
Fact:There are no multiple versions of Swahili language.
There is ONLY one version of the language whose Kings and Queens are Tanzanians.
The rest of you are learners.
Tuliambiwa atapangiwa kazi nyingine labda ndio hii ya TRC.Afu huyu jamaa alikuwaga mkuu wa mkoa wa mtwara..kumbe saiz yupo TRC
View attachment 2220289
View attachment 2220286
View attachment 2220291
Kaka hawa watu ndivyo walivyo ni wapondaji lakini wanajua uzuri wa Watanzania na Tanzania kwa ujumla hakuna Mkenya ambaye anaweza kuja hapa kwetu halafu akatamani maisha ya nyumbani kwao labda awe ni zile familia chache za kitajiri.Most authors of these bias articles are silly Kenyans who are being sponsored by their failed government to run diabolical campaigns aimed at discrediting Dar es salam port.
Haziwasaidii sana, kwakua maneno bila vitendo ni ujinga. Wao wanaongea na kutuponda kila siku lakiji watu wakija Tanzania, hawaridi tena kwao - iwe ni utalii ama vyovyote vile.
Ni neema kubwa mno, kwanza ile amani ya moyo tuliyo nayo sisi Watanzania na furaha ni jambo la kumshukuru Mungu sana.Ebu fikiria unaweza kutoka Mtwara hadi Bukoba hujaulizwa kitambulisho chako, unafika huko unageuza unakwenda hadi Mbeya hujaulizwa umetokea wapi, bado unaelekea Arusha hakuna mtu anakuuliza wewe ni kabila gani.Aisee ni neema kubwa kuzaliwa tanzania tumshukuru Mungu sana!
Wakenya wote wangependa wawe Watz, mkenya ukimwambia unafanana na Watz anafurahi kinoma, mm huwa nawaongopea "mbn ww unafanana na Watz yn haupo kama mkenya kabisa" huwa wanafurahi sana na wengi wao hunijibu "asante bhn" huku wanatabasamu.Kaka hawa watu ndivyo walivyo ni wapondaji lakini wanajua uzuri wa Watanzania na Tanzania kwa ujumla hakuna Mkenya ambaye anaweza kuja hapa kwetu halafu akatamani maisha ya nyumbani kwao labda awe ni zile familia chache za kitajiri.
[emoji23][emoji23] hawaelewi kizunguJameni hii mitungi ya chang'aa ndio mlikuwa mnaiita bullet train???
View attachment 2220429
Kumbe! Muda si mrefu tunaingia E.Kwa speed hii ya meli kubwa zinavyoleta magari suala la muda mfupi tu.
Akasema ahsnte sana ndugu yangu. Yaani ya kiungwana kabisa. It so touching aisee. Unajua tunaongea kama utani ila ni uhalisia. Ila sasa wewe ndio umezidi kabisa unawaenjoy hatare wakikugundua unapelekwa Kibera concentration camp (shauri yako)[emoji846][emoji846][emoji846]Wakenya wote wangependa wawe Watz, mkenya ukimwambia unafanana na Watz anafurahi kinoma, mm huwa nawaongopea "mbn ww unafanana na Watz yn haupo kama mkenya kabisa" huwa wanafurahi sana na wengi wao hunijibu "asante bhn" huku wanatabasamu.
Kuna mmoja juzi pale kazini baada ya kukagua docs zake nikamwambia kumbe wewe ni mkenya, akajibu kwani wanionaje nimekaa ki Tz? Nikamwambia ndio upo kama mbongo, akafurahi sn akajibu asante sana ndugu yangu.
So nimegundua kwamba over 95% ya Wakenya wanapenda kuwa watanzania ila less than 0.01% ya Watz wanapenda kuwa Wakenya, pia nmegundua Wakenya wote wangependa kuishi Tanzania ila hakuna mtz angependa kuishi Kenya.
That lower section haijajengwa mibongolala. Mbona hii expressway inawapa tumbo joto hivi?Chinese works in Kenya vs Chinese works in Tanzania [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2220159View attachment 2220160
Bora wangewapa Estim construction wakapata at least quality roads kuliko hao wachina 😂😂😂
Ile siku Mungu atakujalia ufike Nairobi uje nikutembeze hayo maeneo. Utadharau Pugu sgr station sana 😂Endelea kujiliwaza na picha za uzinduzi ila kwa sasa mazingira ndiyo haya hapa, nani asiyejua nyinyi hamuwezi kutunza vitu kutokana na kutokuwa wastaarabu[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]View attachment 2220177