Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

720k tonnes will pass via ports in a year
that is 30,000 TEUs
coal cargo alone is more than what Lamu port handles!



CC: dyfre, IamLee , Teargas n Tony254
 
Tanzania is a village in southern Kenya. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]

Endeleeni na ulimbikeni wenu wa kufurahia Mambo ya kininga wakati sisi huka tunazidi kuingia mikataba ya miradi mikubwa na kuunganisha reli yetu na nchi za jirani, ninyi reli lenu limeishia porini[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wacha mchozo kijana, Japan si chochote mbele ya China acha kujiongopea.. sijui GDP per capita sijui nini weka pembeni, shuka ground alaf uone kama huyo Japan and US combined kama wanatia pua zao . karibu dunia nzima nowdays inajengwa na mchina
 
Tanzania is a village in southern Kenya. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]

Haya mambo Tz ilifanya kitambo sana enzi hizo bongo fleva ndio inakuwa but kwa ss hatuna mpango nao, mapromota waliona wanapata hasara baada ya kugundua ukimuweka Rihanna taifa kwa kiingilio cha shilingi 5000 alafu ukamuweka Diamond Mlimani City kwa kiingilio cha 100,000 Rihanna hapati watu.
 
According to google. Google ni kampuni inayoheshimika kwa hivyo huwezi kupuuza data wanayotoa kuhusu jinsi watu wanavyotumia site yao. Wao wana data kuhusu ni kitu gani wewe unasearch sasa hivi.
Kwahiyo kila kinachowekwa Google ni cha kweli.
 
Japani ni nchi tajiri kuzidi China kea kila kitu
 
Wacha mchozo kijana, Japan si chochote mbele ya China acha kujiongopea.. sijui GDP per capita sijui nini weka pembeni, shuka ground alaf uone kama huyo Japan and US combined kama wanatia pua zao . karibu dunia nzima nowdays inajengwa na mchina
Apa ndio umeongea kitu gani?ni aibu mtu kama wewe kuongea pumba kama hizi
 
Magufuli thought he would live forever, Kenyans are back to doing what they do best in Tanzania. Vodacom pia naona wakisearch a new Director, that spot is left for Kenyans

Shout out to our lady Beatrice Nyamari😍

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…