Wewe bila shaka ni mkalenjin hiyo heavy accent yako shidaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wee! ndo ako asijue Lugha!! tangu mwaka ghani kichwa ya muntu ikawa maji?? si weye gonjwa iko!! huoni?? weee ndio nakaa kwa Bongo land lkn aijue kitu kswahili nmana inaongea wewe nini bwana jinga kabhisaa wewe hakuna school ni buree tu!
Danganyika bado ni LDC according to UNtanzania is the only country in the world thts.. "self-proclaimed" developed country, thts according to UN Report 2022, and NewYorkTimes
CC. Thebest007, jiwe la moto
Mkuu, punguza jazba na uwe unatoa maoni yako ukiwa "fair". Sijasema watanzania wanamchukia, nimesema hawamuelewi, punguza hasira wote ni watanzania Kama wewe Wana haki ya kutoa maoni Yao kuhusu nchi inavyoendeshwa, kwanini hakuna anayesema wewe umezidisha mapenzi kwasababu zako binafsi?.Achana na hao haters wengi wao ni walimeza ujinga wa awamu ya 5 ,sisi tunaangalia matokeo yenye tija kwa Taifa..
Mtu kama hataki kuelewa si unamuacha? Kwanza wanamchukia sio kwa sababu za utendaji ni kwa sababu ya Uanamke wake na Uzanzibari wake nothing else.
So point ni uchukie au usichukie hilo halimzuii kufanya Kazi..No one cares by the way..
Nasisitiza,moja ya Rais aliyeonyesha utendaji mzuri na matokeo makubwa kwa kipindi kifupi Sana ni Samia,so kila mtu abakie na msimamo wake.
And Samia is aware of this very well thus why She gives no dawn on these fools,at a certain perticular time she once used to say these words below[emoji116]
View attachment 2218674
I am fluent Kiswahili, my dialect is different from yours but I'm very fluent. Meanwhile, you're so poor in English you're always misinterpreting what people who are good in English type.
Wala sio jazba,ndio nimeweka ushahidi wa maneno yake mwenyewe na Hata juzi siku ya uhuru wa habari aligusia maswala hayo hayo ya kumtukana so anaelewa Hali halisi..Mkuu, punguza jazba na uwe unatoa maoni yako ukiwa "fair". Sijasema watanzania wanamchukia, nimesema hawamuelewi, punguza hasira wote ni watanzania Kama wewe Wana haki ya kutoa maoni Yao kuhusu nchi inavyoendeshwa, kwanini hakuna anayesema wewe umezidisha mapenzi kwasababu zako binafsi?.
Huku katika mitandao ya kijamii unapata picha nzuri ya kujua kwa ujumla nini watanzania wanataka kwasababu watu waliopo humu " is very good representation of random sampling of Tanzanians", sio kweli kwamba watu wote wanaomchukia Samia walijikusanya ndio wakaamua kufungua "accounts za Twitter" au JF.
Ni muhimu Sana kwa kiongozi kusikiliza maoni ya watu anaowaongoza kupitia njia mbali mbali ili kuwa na ukaribu na wananchi wake, badala ya kusema kwamba watu wanamchukia
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Save the typo, the English is good. That's why I've been ignoring you bozos over-quoting it. Of course you wouldn't notice real grammatical errors, your simple minds can only notice a missing adjective, which anyone who understands English will note, is a typo.Kiinglish chako sasa engiiner.
😛 😛 😛
Mkuu, nchi hizi ambazo zinaongozwa kwa misingi ya Katiba, yaani viongozi kupigiwa kura na wananchi, Moja ya matatizo yake ni hayo, kwamba mamlaka na maamuzi ya mwisho ni wananchi walio wengi, sio wasomi wenye akili nyingi, Wala serikali.Wala sio jazba,ndio nimeweka ushahidi wa maneno yake mwenyewe na Hata juzi siku ya uhuru wa habari aligusia maswala hayo hayo ya kumtukana so anaelewa Hali halisi..
Haihitaji kutumia maneno ya kupunguza makali eti hawamuelewi,big noo bali wanamchukia kwa sababu nilizoeleza hapo juu na Hali halisi ya maisha pia..
Licha ya serikali kueleza sababu lakini hawataki kuelewa kwa sababu ya chuki na ujinga mwingi..
Saizi tuu nimetoka kumsikia mtu akisema eti alizeti tunalima hapa hapa mbona bei ya mafuta iko juu? Hatuna Rais kila kitu Ukr...huu kama sio ujinga ni kitu gani? Huyu anaesema hivi hajui kwamba zaidi ya 50% ya mafuta ya kula tunaagiza Nje tena Ukr ambako hakuna uzalishaji wala usafirishaji kwa sababu za vita,hajui hao Ukr wanazalisha zaidi ya 40% ya mafuta ya alizeti Duniani achilia mbali ngano and the likes...
Huyo huyo mtu haelewi kwamba licha ya hiyo distortation kwenye supplies lakini kuna factor ya usafiri na covid ilishavuruga mambo..
Sasa hoja yangu kama ningekuwa mshauri wa Rais,,Unapoongoza watu wajinga usiwape uhuru to that extent coz ni detrimental kwako..
Nchi zote zilizoendelea Duniani wakati ziko kwenye ujinga zilidhibiti Hawa watu Kwa mkono wa chuma hadi pale walipofikia ustaarabu na ndio uhuru unafuata,kinyume chake ajiandae kwa makubwa zaidi..
Mwendazake aliwajulia Hawa watu ila tuu kwenye sera za Uchumi ndio alizingua,be like Kagame,Museveni and the likes ,,unawanyika uhuru ila hucompromise economy..
Who told you while you are growing Sisi hatuendelei? Have you ever used or experienced Tanzania internet?While you're fixing, we are also growing bigger and better. Unless we were stagnant..........
I can tell you in Africa Kenya has way better internet penetration and quality than most countries other than the tiny wealthy ones such as Mauritius.
Tatizo lako ww ni kulalama tuu hunaga hoja ,jibu kwa facts sio maneno ya kwenye kangaMoja ya watu wajinga Sana ni pamoja na wewe,Tanzania sio kisiwa kwamba inaishi ulimwengu wake..
Kwa kuwa wengi wenu mna akili ndogo sio rahisi kuelewa logic ya kujilinganisha na wengine..
Nakupa mfano,itokee leo Serikali inaondoa sh.1,000 tuu kwenye mafuta ,bei inaweza kuwa chini by far ukilinganisha na Majirani.Je utakuwa tayari kutoa pesa na rasilimali kulinda mafuta yasitoroshwe na kuleta upungufu Nchini?.
Kwa logic hizo kujilinganisha ni lazima ila kama una akili kama funza utaishia kuongea ujinga tuu,so kwa mantiki hiyo serikali haiwezi kukurupuka kufanya uamzi,hata kwenye covid haikukurupuka ndio maana hatukufikia - ve growth
Mimi silalami,kitu gani ambacho sijajibu? Hujaelewa maelezo yangu? Kama hujaelewa hilo ni tatizo lako binafsi maana nimekujibu vyema..Tatizo lako ww ni kulalama tuu hunaga hoja ,jibu kwa facts sio maneno ya kwenye kanga
Yes I have.Who told you while you are growing Sisi hatuendelei? Have you ever used or experienced Tanzania internet?
mafuta gani ya kula tunaagiza Ukraine? ungesema Indonesia au Malaysia ningekuelewa! japokuwa gharama za kusafirisha mafuta zimepanda, Tanzania haiagizi mafuta ya kula toka ukraine!Wala sio jazba,ndio nimeweka ushahidi wa maneno yake mwenyewe na Hata juzi siku ya uhuru wa habari aligusia maswala hayo hayo ya kumtukana so anaelewa Hali halisi..
Haihitaji kutumia maneno ya kupunguza makali eti hawamuelewi,big noo bali wanamchukia kwa sababu nilizoeleza hapo juu na Hali halisi ya maisha pia..
Licha ya serikali kueleza sababu lakini hawataki kuelewa kwa sababu ya chuki na ujinga mwingi..
Saizi tuu nimetoka kumsikia mtu akisema eti alizeti tunalima hapa hapa mbona bei ya mafuta iko juu? Hatuna Rais kila kitu Ukr...huu kama sio ujinga ni kitu gani? Huyu anaesema hivi hajui kwamba zaidi ya 50% ya mafuta ya kula tunaagiza Nje tena Ukr ambako hakuna uzalishaji wala usafirishaji kwa sababu za vita,hajui hao Ukr wanazalisha zaidi ya 40% ya mafuta ya alizeti Duniani achilia mbali ngano and the likes...
Huyo huyo mtu haelewi kwamba licha ya hiyo distortation kwenye supplies lakini kuna factor ya usafiri na covid ilishavuruga mambo..
Sasa hoja yangu kama ningekuwa mshauri wa Rais,,Unapoongoza watu wajinga usiwape uhuru to that extent coz ni detrimental kwako..
Nchi zote zilizoendelea Duniani wakati ziko kwenye ujinga zilidhibiti Hawa watu Kwa mkono wa chuma hadi pale walipofikia ustaarabu na ndio uhuru unafuata,kinyume chake ajiandae kwa makubwa zaidi..
Mwendazake aliwajulia Hawa watu ila tuu kwenye sera za Uchumi ndio alizingua,be like Kagame,Museveni and the likes ,,unawanyika uhuru ila hucompromise economy..
Sema ngano tunatoa urusi na ukraine lakini sio mafuta, asilimia kubwa mafuta Tz inachukua uarabuni na malaysia,apo umedanganyaWala sio jazba,ndio nimeweka ushahidi wa maneno yake mwenyewe na Hata juzi siku ya uhuru wa habari aligusia maswala hayo hayo ya kumtukana so anaelewa Hali halisi..
Haihitaji kutumia maneno ya kupunguza makali eti hawamuelewi,big noo bali wanamchukia kwa sababu nilizoeleza hapo juu na Hali halisi ya maisha pia..
Licha ya serikali kueleza sababu lakini hawataki kuelewa kwa sababu ya chuki na ujinga mwingi..
Saizi tuu nimetoka kumsikia mtu akisema eti alizeti tunalima hapa hapa mbona bei ya mafuta iko juu? Hatuna Rais kila kitu Ukr...huu kama sio ujinga ni kitu gani? Huyu anaesema hivi hajui kwamba zaidi ya 50% ya mafuta ya kula tunaagiza Nje tena Ukr ambako hakuna uzalishaji wala usafirishaji kwa sababu za vita,hajui hao Ukr wanazalisha zaidi ya 40% ya mafuta ya alizeti Duniani achilia mbali ngano and the likes...
Huyo huyo mtu haelewi kwamba licha ya hiyo distortation kwenye supplies lakini kuna factor ya usafiri na covid ilishavuruga mambo..
Sasa hoja yangu kama ningekuwa mshauri wa Rais,,Unapoongoza watu wajinga usiwape uhuru to that extent coz ni detrimental kwako..
Nchi zote zilizoendelea Duniani wakati ziko kwenye ujinga zilidhibiti Hawa watu Kwa mkono wa chuma hadi pale walipofikia ustaarabu na ndio uhuru unafuata,kinyume chake ajiandae kwa makubwa zaidi..
Mwendazake aliwajulia Hawa watu ila tuu kwenye sera za Uchumi ndio alizingua,be like Kagame,Museveni and the likes ,,unawanyika uhuru ila hucompromise economy..
Hata ngano tanzania huagiza Russia!Sema ngano tunatoa urusi na ukraine lakini sio mafuta, asilimia kubwa mafuta Tz inachukua uarabuni na malaysia,apo umedanganya
Hata Ngano Tanzania hu-import toka Russia!mafuta gani ya kula tunaagiza Ukraine? ungesema Indonesia au Malaysia ningekuelewa! japokuwa gharama za kusafirisha mafuta zimepanda, Tanzania haiagizi mafuta ya kula toka ukraine!
| Tanzania | Last | Previous | Highest | Lowest | Unit | |
|---|---|---|---|---|---|---|
| Balance of Trade | -1118.60 | -562.30 | -98.80 | -1866.33 | USD Million | [+] |
| Current Account | -769.10 | -340.70 | 63.50 | -1725.87 | USD Million | [+] |
| Current Account to GDP | -1.50 | -2.40 | -0.20 | -13.40 | percent of GDP | [+] |
| Imports | 2394.00 | 2091.70 | 3062.08 | 1635.30 | USD Million | [+] |
| Exports | 1895.50 | 1962.80 | 1962.80 | 979.82 | USD Million | [+] |
| Terms Of Trade | 106.10 | 106.50 | 119.40 | 100.00 | points | [+] |
| Terrorism Index | 3.11 | 3.27 | 3.98 | 0.06 | [+] | |
| External Debt | 28355.30 | 28322.10 | 28355.30 | 2469.70 | USD Million | [+] |
| Capital Flows | -173.20 | -595.00 | 1606.20 | -1327.00 | USD Million | [+] |
Nilimsikia Rais mwenyewe na Waziri wa kilimo wakisema mafuta pia yanatoka huko on top of Malaysia .Sema ngano tunatoa urusi na ukraine lakini sio mafuta, asilimia kubwa mafuta Tz inachukua uarabuni na malaysia,apo umedanganya
Save the typo, the English is good. That's why I've been ignoring you bozos over-quoting it. Of course you wouldn't notice real grammatical errors, your simple minds can only notice a missing adjective, which anyone who understands English will note, is a typo.
Huyo jamaa kiazi sana, hivi nikimkatalia chizi anaeshinda jalalani asikae kwenye sofa langu utasema namchukia?Mkuu, punguza jazba na uwe unatoa maoni yako ukiwa "fair". Sijasema watanzania wanamchukia, nimesema hawamuelewi, punguza hasira wote ni watanzania Kama wewe Wana haki ya kutoa maoni Yao kuhusu nchi inavyoendeshwa, kwanini hakuna anayesema wewe umezidisha mapenzi kwasababu zako binafsi?.
Huku katika mitandao ya kijamii unapata picha nzuri ya kujua kwa ujumla nini watanzania wanataka kwasababu watu waliopo humu " is very good representation of random sampling of Tanzanians", sio kweli kwamba watu wote wanaomchukia Samia walijikusanya ndio wakaamua kufungua "accounts za Twitter" au JF.
Ni muhimu Sana kwa kiongozi kusikiliza maoni ya watu anaowaongoza kupitia njia mbali mbali ili kuwa na ukaribu na wananchi wake, badala ya kusema kwamba watu wanamchukia
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Unaelewa but!! ako ile kiburi ya kishamba!! kiswahili siyo mali yenyu unasikia weye bwege!!Lengo ni ili tuweze kukuelewa, ukweli hatukuelewi,.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ndiyo unamchukia!! halafu utakuwa mjinga bin kilaza sana,km ulivyo jitanabaisha hapo juu mwenyewe!! kwani sofa umeweka la nini hapo??.....watu..au maonyesho?? chizi kushinda jalalani haina maana analeta jalala kwenye sofa lako!!Huyo jamaa kiazi sana, hivi nikimkatalia chizi anaeshinda jalalani asikae kwenye sofa langu utasema namchukia?