Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukitaka kujua reality ya mkenya nenda nae Kwa ground! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ni dhahiri kuwa fedha hazijatolewa kwani hiyo ngonjera ya ujenzi wa hiyo miradi ni zaidi ya miaka 3 sasa. Kwa kuwa mna hasira naye huyo Rais mnatafuta kila upenyo kumkandia. Endeleeni tu. Hata angekuwepo Magu hiyo miradi isinge anza mpaka leo.
Hata wewe unaamini kwamba tunamchukia mama? Nilichokiandika kimekupa tafsiri kwamba ni chuki dhidi yake, kuhoji kumbe ni chuki? Basi sawa ndivyo uelewa wako ulivyo.
Nilivyosema watendaji wasije wakamkwamisha ili miradi isitekelezeke na kukwama umenielewaje? Soma vizuri michango ya watu utaelewa wanachokimaanisha.
Kwahiyo watu wanavyosema madudu ya serikali kupanda kwa bidhaa ikiwemo mafuta unaona wanamchukia? Sasa kwanini wanachukua hatua? NIMEKUSHANGAA SANA.
 
Me nilishasema na nitaendelea kusema kuna watendaji wa mama amewaweka karibu yake watakuja kumuangusha. Si watendaji ni wasaka tonge.
 
Duuuuuh huyu wa wapi wakuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimemjibu baadaye nikafuta nikaona napoteza muda wangu bure.[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kinachotakiwa kufanyika kwa mujibu wa Sheria ni kuwasimamisha kazi waliotuhumiwa na kupisha uchunguzi na hatimae kuwapeleka mahakamani. Unawafukuza watu halafu wanashinda kesi Serikali italazimika kulipa fidia kubwa zaidi.
Acha kubwabwaja,PM alishasema wakae pembeni toka akiwa Arusha kabla ya Leo kuja..

Na leo kasema Takukuru wanaendelea na Kazi so haina haja ya kuhemka kindezi.
 
Tumia lugha unayo iweza tafadhali...wacha kubaka lugha kama hivii
Angalia hii kilaza nayo!! ako nadhania kiswahili kitu maana sana kwa land ya Bongo?? wewe asijui hii lugha ya kibantu ndo maana hukusoma weye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…